Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

The Watchman

JF-Expert Member
Joined
Nov 7, 2023
Posts
896
Reaction score
1,427
Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi.

“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” pia humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”

Hitaji kubwa la wanaume wengi ni mamlaka. Wanaume wanapoingia kwenye uhusiano na mwanamke wanakuwa na shauku ya kuwa na sauti inayosikika bayana kukidhi dhana ya kichwa cha familia. Ili sauti hii iweze kusikika bara bara uwezo wa kifedha, kielimu, kimadaraka na hata umaarufu unakuwa na nafasi yake.

Kwa maana hiyo inapotokea mwanamke ameshindwa kuwa chini ya mamlaka yake, mwanaume huanza kujisikia hayuko salama.​

Chris Mzumbwe

Kuna wale wenye ndoto na malengo yao makubwa sana alafu kichwani wapo very smart. Hawa watu kwenye mahusiano wapo wapo tu na hawajali lolote litakalotokea kikubwa kwao ni kuona malengo na ndoto zao zinatimia.

Kwahiyo chochote kitakachojitokeza kuwa sababu ya kuhatarisha mafanikio ya malengo yake anakiepuka mapema sana. Na wana misimamo mikali sana. Mwanaume hapa ukifyata ukasema umsikilize umeisha, wana kau-feminist fulani hivi kalichojificha kwenye kupambania ndoto zake kwanza.

Imagine una ke age ni 32+ alafu bado anakuambia hawezi kuzaa mpaka atimize malengo yake, hii ni scenario ya mwanangu mmoja ivi kwa picha naloliona hadharani ni wazi mwamba kashawekwa kiganjani na hafurukuti. Unafokewaje na ke tena hadharani alafu unanywea?
Ke mwenye heshima na upendo hawezi kufanya hivyo kwa mwanaume wake, never.
 
Kwa uelewa wangu hizo ni harakati za shetani tuu.

Kwanza kabisa tuwekane sawa na hii haina kubisha maana hata wahusika wenyewe hawawezi kujisaidia kwa hili.

Kwamba mwanamke anaposhika hela hasa hasa kama imemzidi mwanaume wake, katu hawezi kukubali kutawaliwa na huyo mwanaume.

Sasa kwanini nasema hizi ni mbinu za shetani? Ni hivi baada ya anguko la dhambi pale kwenye bustani ya Edeni, mwanamke aliambiwa ya kuwa.

"Akamwambia mwanamke, hakika nitakuzidishia uchungu wako, na kuzaa kwako. Kwa utungu utazaa watoto, na tamaa yako itakuwa kwa mumeo, NAYE ATAKUTAWALA" Mwanzo 3:16.

Sasa Fatilia vizuri mwanamke aliambiwa atatawaliwa na mwanaume, sasa shetani anachofanya analeta harakati za haki sawa kwa mwanamke huku akijua mwanamke akishika mali sio rahisi kumtawala kama ilivoagizwa na Mungu toka awali.

Hii ni kama pale Mungu aliposema mkila matunda ya mti wa katikati hata kuyashika mtakufa, ila shetani alikuja kwa Hawa akamwambia hamtakufa (Ila je mimi na wew ni mashahidi mpaka sasa je tunakufa ama hatufi?

Ni kama Mungu aliposema Binadam atakula kwa uchungu ila shetani analeta hela zake za bure watu wale bila uchungu wowote.

So Shetani anachofanya anageuza yake maneno aliyosema Mungu toka mwanzo ili Mungu aonekane muongo, na linapokuja swala la mwanamke kutawaliwa njia pekee ya kuzuia hilo anampa mali mwanamke hali akijua mwanamke akiwa nazo mali huwezi kumtawala miaka mia.

Kuna msemo unasema "Mwanaume anaweza kuishi na mwanamke asiye na kipato kwa miaka 5 yeye akiwa anahudumia kila kitu, ila mwanamke hawezi kuishi na mwanaume asiye na kipato kwa siku 5".

Hizi zote ni njama
 
"Mwanaume anaweza kuishi na mwanamke asiye na kipato kwa miaka 5, ila mwanamke hawezi kuishi na mwanaume aiye na kipato kwa siku 5"
 
Hawa ni wanawake wenye kiwango kikubwa cha elimu, fedha, umaarufu au hata madaraka katika jamii. Hoja ya wanaume wenye mawazo haya ni ugumu wa kuwaongoza wanawake wanaowazidi.

“Mwanawake akipata kitu anakuwa jeuri sana. Hawezi kukusikiliza tena na atataka awe huru kufanya mambo yake bila kuingiliwa.” pia humfanya mwanamke asiwe na utayari wa kuwa chini ya utawala wa mwanaume. “Huwezi kuishi na mwanamke anayejiona yuko juu yako na ukabaki salama. Hatokuwa tayari kukupa nafasi ya kuwa na sauti kwenye nyumba.”

Hitaji kubwa la wanaume wengi ni mamlaka. Wanaume wanapoingia kwenye uhusiano na mwanamke wanakuwa na shauku ya kuwa na sauti inayosikika bayana kukidhi dhana ya kichwa cha familia. Ili sauti hii iweze kusikika bara bara uwezo wa kifedha, kielimu, kimadaraka na hata umaarufu unakuwa na nafasi yake.

Kwa maana hiyo inapotokea mwanamke ameshindwa kuwa chini ya mamlaka yake, mwanaume huanza kujisikia hayuko salama.​

Chris Mzumbwe

Wewe tu hujiàmini, Hafidh anao watatu.
 
Kuna wale wenye ndoto na malengo yao makubwa sana alafu kichwani wapo very smart. Hawa watu kwenye mahusiano wapo wapo tu na hawajali lolote litakalotokea kikubwa kwao ni kuona malengo na ndoto zao zinatimia.

Kwahiyo chochote kitakachojitokeza kuwa sababu ya kuhatarisha mafanikio ya malengo yake anakiepuka mapema sana. Na wana misimamo mikali sana. Mwanaume hapa ukifyata ukasema umsikilize umeisha, wana kau-feminist fulani hivi kalichojificha kwenye kupambania ndoto zake kwanza.

Imagine una ke age ni 32+ alafu bado anakuambia hawezi kuzaa mpaka atimize malengo yake, hii ni scenario ya mwanangu mmoja ivi kwa picha naloliona hadharani ni wazi mwamba kashawekwa kiganjani na hafurukuti. Unafokewaje na ke tena hadharani alafu unanywea?
Ke mwenye heshima na upendo hawezi kufanya hivyo kwa mwanaume wake, never.
Una kitu utafika mbali
 
Huyo mwanamke atanifaa mie mwambie jamaa yako anipe mie huyo manamke. Nitaishi nae vizuri tena mie nitamwambia bby wala usizae kabisaaaa...wee saka ndalama mie hadi chupi zako nitafua usijali
 
Back
Top Bottom