Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Kwanini wanawake wenye mafanikio wanaogopwa?

Mkuu ushawahi kupigwa ban..?? sasa jitafutie ban ya lazima
Wana Bariadi moja wana katabia kanaitwa "kusameleja mva"....

Naona umeamua kunitisha na ban, na unataka kunisameleja kwa mod😂😂
 
Mwanaume anapenda mwanamke alie chini iki amcontroll,ika vijana wa sasa wanapenda na wanatafuta wanawake wenye pesa
 
Ukiwaelewa/mkielewana mbona poa tuu hivi wewe kwa mawazo yako familia ambazo unakuta zimefanikiwa kiuchumi, kijamii na kiroho unadhani mwananamke oya oya mtafika huko? Yote kwa yote maelewano na kuheshimiana ndio msingi.
Hayo uliyoyasema ni sahihi ila kwangu mwanamke anaenivunjia heshima hafai.
 
Back
Top Bottom