n-propanol
JF-Expert Member
- Apr 7, 2019
- 5,349
- 7,000
Huu ndio ukweli.Hakuna mwanaume anayejielewa ataishi kwa furaha kwa pesa ya mkewe
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huu ndio ukweli.Hakuna mwanaume anayejielewa ataishi kwa furaha kwa pesa ya mkewe
Wana Bariadi moja wana katabia kanaitwa "kusameleja mva"....Mkuu ushawahi kupigwa ban..?? sasa jitafutie ban ya lazima
kijana bado hujakuwa wewe ukikuwa utaheshimu wakubwa zako!Wana Bariadi moja wana katabia kanaitwa "kusameleja mva"....
Naona umeamua kunitisha na ban, na unataka kunisameleja kwa mod😂😂
Hata wewe ni hivyo hivyo.kijana bado hujakuwa wewe ukikuwa utaheshimu wakubwa zako!
🙏🙏Umeongea vyema.
KabisaHuu ndio ukweli.
Hayo uliyoyasema ni sahihi ila kwangu mwanamke anaenivunjia heshima hafai.Ukiwaelewa/mkielewana mbona poa tuu hivi wewe kwa mawazo yako familia ambazo unakuta zimefanikiwa kiuchumi, kijamii na kiroho unadhani mwananamke oya oya mtafika huko? Yote kwa yote maelewano na kuheshimiana ndio msingi.