Bujibuji Simba Nyamaume
JF-Expert Member
- Feb 4, 2009
- 76,107
- 160,001
humu mnafahamiana ehhh. mbona mi nikitoa mualiko haujibiwi? ngoja niongeze Na ka kidani cha che pendantKwani imetokea nini jana. Nikumbushe labda nilikua naandika kitu sikielew. Naendelea kusisitiza wewe ni age ya mamangu nakuheshimu