Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Rangi yoyote huwa inapendeza cha msingi isiwe fake(ya dukani)...
Wanapendwa wengi weusi coz hakuna weusi wa dukani ila weupe ndo upo wa dukani
At napata jibu kwamba at at a weupe wanapendwa ila wanaume wanakua wanawaepuka kwa kuofia weupe wao Wenda ukawa no wadukan at au Wa asili ko kjnachosumbua no (uhakika Wa lang nyeupe kua in org au fke
 
At napata jibu kwamba at at a weupe wanapendwa ila wanaume wanakua wanawaepuka kwa kuofia weupe wao Wenda ukawa no wadukan at au Wa asili ko kjnachosumbua no (uhakika Wa lang nyeupe kua in org au fke
Sawa
 
Ni mtazamo tu.. Kila mtu ana taste yake... Wapo wanapenda sana weupe.. Wapo wanaopena sana weusi...

Siyo tu the beautify is the eyes of the beholder bali the beauty is the heart of the beholder as well..

Haijalishi if you are pink, purple, blue, yellow black or white...


Like i love my mahondaw the way she is...


Cc: mahondaw
 
Kwa sababu [HASHTAG]#uweusi[/HASHTAG] ni rangi yenye uharisia wa kipekee ukipuuzia mbali uweupe wa [HASHTAG]#madukani[/HASHTAG]
Ushindani si mkubwa...hasa huku usukumani.
 
Mahondwa amekuroga wewe sio bure, kila ukikoment lazima umtaje Mahondwa.
Likin poa ni vizuri.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…