Kwanini wanawake weusi wanapendwa sana na wanaume wengi?

Tatizo kubwa sana ni kwamba wengi wa wanawake wenye rangi nyeusi huwa HAWAJIKUBALI kabisa.
Yaani kwa sababu ya rangi yao wanajihisi hawavutii, hawajiamini na wanaishia kujidharau.

Lakini kiuhalisia kabisa msichana mwenye rangi nyeusi ni Mzuri sana. So attractive.
 
Mngewapenda hao weusi mikorogo isingeuzwa ya kila namna.

Najivunia kua na rangi ya mtume from Dubai [emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Am naturally awesome
 
Labda unawapenda wewe peke yako ,,,,,,,,hamna wanawake ambao nawaonea kinyaa kama wanawake weusi hata kuniongelesha sipendi waniongeleshe
 
At napata jibu kwamba at at a weupe wanapendwa ila wanaume wanakua wanawaepuka kwa kuofia weupe wao Wenda ukawa no wadukan at au Wa asili ko kjnachosumbua no (uhakika Wa lang nyeupe kua in org au fke
Weupe wa kununua unajulikana tu. Ugoko haubadilikagi rangi. Tena wengine mgongo mweusiiiiii coz mikono haifiki wanaotumia wa kupaka. Vidole vinadunda.

Mwanaume mjuvi atajua kutofautsha tu
 
Suala hili ni la kisaikolojia zaidi.
Jiulize kwanini wanawake weusi wazuri, lakini hawajiamini wanalamba mkorogo?
Kwa kweli "idea" hizi za kinamama ni za kukera sana.
Wapo baadhi wanaojitambua, hawahangaiki na "mamikorogo", nadhani ndiyo unaowaongelea.
Kwa ujumla wanaume wanapenda sana umbo na rangi halisi ya mwanamke la asili. Awe mweusi, maji ya kunde ama mweupe.
Kila mwanamke anamvuto wake, kutokana na umbo asilia alilojaaliwa na M/Mungu.
Kinachokera wanaume ni maumbile ghushi wanayoyavaa wanawake, kiuhalisia yanakuwa siyo yao. Si kero ndogo ni kero kubwa kabisa.
Mfano mwanaume anapenda mwanamke mweupe, anaona anapenda na kuchagua, kumbe hadaa, ni mwanamke mweusi tii, kajikoroga tu.
Mwanaume mwingine anapenda mwanamke mwenye kitu kikubwa, anaona anapenda na kuchagua.
Kuja kumvua, kumbe ni kimbaombao, chembamba kama chuma cha reli. What do you expect?
Hayo mapenzi yataendelea kuelekezwa kwenye hiyo figure ghushi?
Kwa hiyo wanawake wengi weusi wanapapatikiwa kwa kuwa wanaonekana ni wanawake wenyekujitambua, wasio na makuu na si wasumbufu kwenye maisha halisi, ijapo hizo ni dhana za ujumla zisizo na uhalisia wowote.
Kundi la wanawake wazuriwazuri warembo weupe, wameharibiwa na watumia mikorogo. Hawa huwekwa kundi moja ambalo huonekana ni kundi la wanawake complicated, wasiojitambua na hawajiamini, mashangingi wakubwa. Ndiyomaana sasa soko limehamia kwa weusi tiii titititi wanaokwezwa na wanaume kwa sifa nilozozitaja hapo juu.
 
Unawashauri nini sasa.
 
Wanawake ambao hawajikubali kwa rangi zao ni kua hawana akili ya kujisimamia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…