chizcom
JF-Expert Member
- Jul 31, 2016
- 8,680
- 18,035
Nimeona kutumia hawa watu ambao wanga na wachawi kwa jinsi walivo na ushirikiano wa hali ya juu kabisa.
Maana mikasa mingi inayosimuliwa kuhusu hawa watu unaweza kubaki mdomo wazi.
Ila tuje kwenye mada iliyonileta sio sehemu yangu huko labda kaka @Mshana Jr anaweza kunieleza kuhusu kichwa cha habari hapo juu.
Kwa nchi yetu swala la ushirikiano ni dogo sana hata umoja ni mdogo sana umebaki na unafiki mkubwa.
Uwezi kupewa ushirikiano hata kama unasababu au kitu fulani ilimradi tu chuki zao binafsi.
Ila ukije usiku wa giza mbona hawa wanaushirikiano kuliko sisi tuliopo mchana kweupe tukiwa tuna nguo zetu.