Kwanini wanga na wachawi wana ushirikiano sana kwenye kazi zao

Swala jingine, huwa inasemwa mtu aliyetolewa kuwekwa au kufichwa kwenye chumba kimojawapo. Je, huwekwa kwa muda gani? na kuna madhara gani humpata mtu atakayeingia kwenye hicho chumba ambaye hajui chochote kuhusu hilo swala?
Huwekwa humo mpaka mambo yatakapoharibika.. Ukiingia huko ni mawili..! Kifo au uchizi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana huwa ni chumba ya pekeyake kisichotumiwa na yeyote

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante ndugu mshana, vipi wakimuweka huko katika namna ambayo wasio na macho hawawezi kumwona, hadi uwe umechanjiwa hayo mambo......je, inawezekana kumweka kwenye chumba ambacho wanafamilia wanaweza kuingia, kwani watakuwa wanajua hawawezi kumwona?
 
Ok asante kwa majibu yako mazuri, hivi unaweza kuwa mtu wa mafanikio, bila kwenda kwa mganga?
Inawezekana kabisa ila shida italetwa na mambo mawili au zaidi
1. Kutaka kupata zaidi ya kile ulichobarikiwa kupata kwa halali
2. Kutaka kushindana na waliopata kwa njia za giza
3. Kutaka kulinda mafanikio yako nje ya utaratibu wa Kimungu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Asante ndugu mshana, vipi wakimuweka huko katika namna ambayo wasio na macho hawawezi kumwona, hadi uwe umechanjiwa hayo mambo......je, inawezekana kumweka kwenye chumba ambacho wanafamilia wanaweza kuingia, kwani watakuwa wanajua hawawezi kumwona?
Hapana hiyo ni kitu kingine kabisa na in fact sio kumfungia kwenye chumba bali ni kumfanya ndondocha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapana hiyo ni kitu kingine kabisa na in fact sio kumfungia kwenye chumba bali ni kumfanya ndondocha

Sent using Jamii Forums mobile app
Ok, maana kuna watu huwa wanadai wamewaona wale waliokwisha kufa, je, hao marehemu wanaotokea watu huwa wako katika hali ya mwili au roho? mfano chukulia ndugu yako amekufa baada ya muda ukamwona, je, unakuwa unamwona physically au kwenye ndoto?
 
Marehemu hututokea kwa sababu yoyote ile kwa namna tatu
1. Ndotoni
2. Mahali pweke.. Hutokea na kabla hujakaa sawa kapotea
3. Kupitia mtu mwingine.. Lakini huwa ni kitendo cha sekunde tuu
Hawezi kukutokea kwenye ukamilifu wake kwakuwa yeye si mwili tena bali ni roho

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Marehemu hututokea kwa sababu yoyote ile kwa namna tatu
1. Ndotoni
2. Mahali pweke.. Hutokea na kabla hujakaa sawa kapotea
3. Kupitia mtu mwingine.. Lakini huwa ni kitendo cha sekunde tuu
Hawezi kukutokea kwenye ukamilifu wake kwakuwa yeye si mwili tena bali ni roho

Sent using Jamii Forums mobile app
Ukiona hivyo, inamaanisha hakufa katika hali ya kawaida? yaani ametolewa kafara au msukule?
 
Back
Top Bottom