Kwanini wanga na wachawi wana ushirikiano sana kwenye kazi zao

Kwanini wanga na wachawi wana ushirikiano sana kwenye kazi zao

Daaaah, Mshana Jr una vitu vingi natamami sana nizidi kukuuliza maswali ila kwa leo inatosha nisikuchoshe sana mkuu
Njoo huku uniulize tani yako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuponi
Mwanga ni mtoto mdogo kazi zake nyingi anategemea apewe matirio na mchawi
Mchawi ni mtu anayeweza kuwa anamiliki misukule, majini, tunguli , mkoba wa mizimu ya kichawi nk,,
Mwanga ni kama saidia fundi,
Anaweza akawa anajua jua kazi
Lakini hana Toolbox , bisi bisi, wala miko na konobao,
hao nimefundisha kwa mtindo wa nursery school..
 
Inategemea na nguvu ya damu uliyotumia kwenye kafara husika na pia nguvu ya wengine wanaokiwania cheo husika...!!!
Kuna vyeo vya juu huwa na makafara makubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana ni dalili gani wanaonyesha wazazi waliotoa kafara mmoja wa watoto kwa wale wengine waliobaki hai. Je, wanakuwa wanajishtukia au wanaendelea tu kutaka ukaribu kana kwamba hakuna kilichotokea?
 
Huwa wanaweka masharti fulani ndani ya nyumba ambayo hayana maelezo ya kueleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala jingine, huwa inasemwa mtu aliyetolewa kuwekwa au kufichwa kwenye chumba kimojawapo. Je, huwekwa kwa muda gani? na kuna madhara gani humpata mtu atakayeingia kwenye hicho chumba ambaye hajui chochote kuhusu hilo swala?
 
Nimeona kutumia hawa watu ambao wanga na wachawi kwa jinsi walivo na ushirikiano wa hali ya juu kabisa.

Maana mikasa mingi inayosimuliwa kuhusu hawa watu unaweza kubaki mdomo wazi.

Ila tuje kwenye mada iliyonileta sio sehemu yangu huko labda kaka @Mshana Jr anaweza kunieleza kuhusu kichwa cha habari hapo juu.

Kwa nchi yetu swala la ushirikiano ni dogo sana hata umoja ni mdogo sana umebaki na unafiki mkubwa.

Uwezi kupewa ushirikiano hata kama unasababu au kitu fulani ilimradi tu chuki zao binafsi.

Ila ukije usiku wa giza mbona hawa wanaushirikiano kuliko sisi tuliopo mchana kweupe tukiwa tuna nguo zetu.
Kama CCM tu kwenye wizi wa Kura! Wanakuaga na umoja wa ajabu kabisa
 
Back
Top Bottom