Kwanini wanga na wachawi wana ushirikiano sana kwenye kazi zao

Daaaah, Mshana Jr una vitu vingi natamami sana nizidi kukuuliza maswali ila kwa leo inatosha nisikuchoshe sana mkuu
Njoo huku uniulize tani yako


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hatuponi
 
Inategemea na nguvu ya damu uliyotumia kwenye kafara husika na pia nguvu ya wengine wanaokiwania cheo husika...!!!
Kuna vyeo vya juu huwa na makafara makubwa sana

Sent using Jamii Forums mobile app
Mshana ni dalili gani wanaonyesha wazazi waliotoa kafara mmoja wa watoto kwa wale wengine waliobaki hai. Je, wanakuwa wanajishtukia au wanaendelea tu kutaka ukaribu kana kwamba hakuna kilichotokea?
 
Huwa wanaweka masharti fulani ndani ya nyumba ambayo hayana maelezo ya kueleweka

Sent using Jamii Forums mobile app
Swala jingine, huwa inasemwa mtu aliyetolewa kuwekwa au kufichwa kwenye chumba kimojawapo. Je, huwekwa kwa muda gani? na kuna madhara gani humpata mtu atakayeingia kwenye hicho chumba ambaye hajui chochote kuhusu hilo swala?
 
Kama CCM tu kwenye wizi wa Kura! Wanakuaga na umoja wa ajabu kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…