Huwekwa humo mpaka mambo yatakapoharibika.. Ukiingia huko ni mawili..! Kifo au uchiziSwala jingine, huwa inasemwa mtu aliyetolewa kuwekwa au kufichwa kwenye chumba kimojawapo. Je, huwekwa kwa muda gani? na kuna madhara gani humpata mtu atakayeingia kwenye hicho chumba ambaye hajui chochote kuhusu hilo swala?
Kama ni chumba kinachotumiwa na wanafamilia, mfano chumba cha wazazi si ni kawaida watoto au wajukuu kuingia huko walau mara moja moja? hii itakuwaje....Huwekwa humo mpaka mambo yatakapoharibika.. Ukiingia huko ni mawili..! Kifo au uchizi
Sent using Jamii Forums mobile app
Hapana huwa ni chumba ya pekeyake kisichotumiwa na yeyoteKama ni chumba kinachotumiwa na wanafamilia, mfano chumba cha wazazi si ni kawaida watoto au wajukuu kuingia huko walau mara moja moja? hii itakuwaje....
Mshana hivi mtu anaweza kuwa mganga mkubwa bila kutoa kafara
Haiwezekani kabisa kwakuwa kafara ni sehemu ya ugangaMshana hivi mtu anaweza kuwa mganga mkubwa bila kutoa kafara
Zipo nyingi.. Fuatilia tiba asilia/ tiba za mitishamba kuna dawa nyingi nzuri zisizohusiana na uganga wala ushirikinaMshana, je waganga wanazo dawa za mitishamba zinazoponya kweli
Ok asante kwa majibu yako mazuri, hivi unaweza kuwa mtu wa mafanikio, bila kwenda kwa mganga?
Asante ndugu mshana, vipi wakimuweka huko katika namna ambayo wasio na macho hawawezi kumwona, hadi uwe umechanjiwa hayo mambo......je, inawezekana kumweka kwenye chumba ambacho wanafamilia wanaweza kuingia, kwani watakuwa wanajua hawawezi kumwona?
Inawezekana kabisa ila shida italetwa na mambo mawili au zaidiOk asante kwa majibu yako mazuri, hivi unaweza kuwa mtu wa mafanikio, bila kwenda kwa mganga?
Hapana hiyo ni kitu kingine kabisa na in fact sio kumfungia kwenye chumba bali ni kumfanya ndondochaAsante ndugu mshana, vipi wakimuweka huko katika namna ambayo wasio na macho hawawezi kumwona, hadi uwe umechanjiwa hayo mambo......je, inawezekana kumweka kwenye chumba ambacho wanafamilia wanaweza kuingia, kwani watakuwa wanajua hawawezi kumwona?
Ok, maana kuna watu huwa wanadai wamewaona wale waliokwisha kufa, je, hao marehemu wanaotokea watu huwa wako katika hali ya mwili au roho? mfano chukulia ndugu yako amekufa baada ya muda ukamwona, je, unakuwa unamwona physically au kwenye ndoto?Hapana hiyo ni kitu kingine kabisa na in fact sio kumfungia kwenye chumba bali ni kumfanya ndondocha
Sent using Jamii Forums mobile app
Marehemu hututokea kwa sababu yoyote ile kwa namna tatuOk, maana kuna watu huwa wanadai wamewaona wale waliokwisha kufa, je, hao marehemu wanaotokea watu huwa wako katika hali ya mwili au roho? mfano chukulia ndugu yako amekufa baada ya muda ukamwona, je, unakuwa unamwona physically au kwenye ndoto?
Ukiona hivyo, inamaanisha hakufa katika hali ya kawaida? yaani ametolewa kafara au msukule?Marehemu hututokea kwa sababu yoyote ile kwa namna tatu
1. Ndotoni
2. Mahali pweke.. Hutokea na kabla hujakaa sawa kapotea
3. Kupitia mtu mwingine.. Lakini huwa ni kitendo cha sekunde tuu
Hawezi kukutokea kwenye ukamilifu wake kwakuwa yeye si mwili tena bali ni roho
Sent using Jamii Forums mobile app
Yeah lakini si wote ..!Ukiona hivyo, inamaanisha hakufa katika hali ya kawaida? yaani ametolewa kafara au msukule?
ππππMimi kinachonishangaza ni uwezo wa kutunza siri..
Hata hapa wachawi halisi wala hawachangii
Wanasoma Tu na kutabasam