Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mkuu Mwanaweja
Ulawiti

Je bibilia yasema nini kuhusu mapenzi ya namna hii? Imeandikwa, Warumi 1:26-27 "Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tama zao za aidu hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasio ya asili wanaume nao vivyo hivyo, waliyaacha mtumizi ya mke, ya asili wakawakiana tama wanaume wakayatenda yasiyopasa wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao."

Je! mapenzi ya namna hii ni dhambi? Imeandikwa, Mambo ya walawi 18:22 "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke ni machukizo."

Je anayefanya mapenzi ya namna hii atauridhi uzima? Imeandikwa, 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawatauridhi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."

Kama watenda dhambi wengine wanao fanya mapenzi ya namna hii wameitwa kutubu dhambi zao. Imeandikwa, 1Timotheo 1:10-11 "Na wazinzi, na wafiraji, na waibao watu, na waongo nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana mafundisho yenye uzima, kama vile ilivyo nenwa katika habari njema ya utukufu wa Mungu ahidimiwaye, niliyowekewa amana."

Dhambi ya aina yo yote itupiliwe mbali na tuombe msamaha kwa Mungu. Imeandikwa, 1 Wakorintho 6:11 "Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii, lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo na katika Roho wa Mungu wetu."

Kuna tumaini kwa wao watendao mapenzi ya namna hii. Imeandikwa, 1Wakorintho 10:13 "Jaribu halikuwapata ninyi isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu ila Mungu ni mwaminifu ambay hatawaachamjaribiwe kupita mwezavyo lakini paoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ilimweze kustahimili."

Je! kama wanfanya mapenzi ya namna hii ufanye je?. Kwanza kubali dhambi zako. Imeandikwa, Zaburi 51:2-4 "Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhmbi zangu... maana nimeyajua mimi makosa yangu "

Pili omba msamaha kwa Mungu. Imeandikwa, Zaburi 51:7-12 "Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, unioshe nami nitakuwa mweupe kuliko theluji unifanye kusikia furaha na shangwe mifupa uliyoiponda ifurahi. Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; uzifute hatia zangu zote. Ee Mungu

uniumbie moyo safi, uifanye upia roho iliyotulia ndani yangu. Usinitenge na uso wako wala Roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako unitegemeze kwa roho ya usafi."

Tatu kubali yakuwa Mungu amekusamehe dhambi zako. Imeandikwa Zaburi 32:1-6 "Heri aliyesamehewa dhambi, na kusitiriwa makosa yake. Heri Bwana asiyemhesabia upotovu,, ambaye rohoni mwake hamna hila. Niliponyamaza mifupa yangu ilichakaa kwa kuugua kwangu mchana kutwa kwa

maana mchana na usiku mkono wako ulinilemea. jasho langu likakauka hata nikawa kama nchi kavu wakati wa kaskazi. Nalikujulisha dhambi yangu wala sikuufisha upotovu wangu nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu. Kwa hiyo kila mtu mtauwa akuombe wakati unapopatikana, hakika maji makuu ya furikapo hayatamfikia yeye."

Sasa haya mambo ya imani si kila mtu kimpango wake? Kama wapenzi wote hawafuati hayo maandiko basi si RUKSA!!
 
Ngoja nikueleweshe juu ya vijembe. Vijembe ni maneno uliyoyatoa dhidi yangu badala ya kuulizwa a simple question. All you had to do was answer it how you were asked, simple as that na si kutoa maneno ya hajabu hata wewe mwenyewe huyakumbuki. This is lame and shows lack of comprehension from your side. Ok, unasema rijali hawezi kutoa hoja kama zangu nakuelewa, na je...we si rijali? Mbona hoja zako za kuropoka hazina msingi wowote?

Listen... go back to the title and try to address it; you have been trying hard to provoke but you got no response; HILI NI JUKWAA JINGINE, SIYO YALE ULIYOZOEA KUTOKANA NA TABIA ZAKO, IT IS JF DOCTOR...

Just respond to the thread and stay off my line....

I have got some school to learn, and some school to give as well, The topic is good, unfortunately, everytime this topic comes up, a few faggets always come to spoil it and i think this time mods will do the needful kudelete kraps ili hii kitu iwe shule... AND WE HAVE A GOOD START, IT IS ALREADY A STICKY THREAD
 
Ukifanya ngono na mwanamke,hata kama ukila tigo,siyo kinyume na maumbile. If anything,ni antridote kwa ngono ambazo ni kinyume na maumbile.

Thanks mkuu, sasa kiafya wapi kunakua na madhara na wapi kunakua na athari??

kisaikolojia nifahamuvyo mimi ni kwamba kunakua na sense of satisfaction kwetu wanawake, in addition to the extra ordinary pleasure kwa waliozoea na endapo hygiene iko juu. kwa akina dada kuna wanaopata sense ya satisfaction pleaure na hata ile hisia ya kuwa daring, lakini baadhi yao huichukulia kama humiliation.... where do we start??

kifiziolojia na maungo kiujumla wanasema unaelegeza tigo sphincters na waweza kupata shida kuzaa, hii iko common sana hasa kwa manesi, lakini najiuliza, nchi kama USA, France na north africa ambapo hii inatumika mno (probably over 50%), wanazaaje??

kwa wanaume tunaambiwa utapigwa bomba nk... lakini ukisoma vitabu unaambiwa any man akishafika 40 inabidi aanze kuangalia prostate, nadae kuanzia fifty kuziba kwaweza kuwa na sababu kadhaa na si kufira tu. nk

ningepena sana tuijadili kimedikali kuliko kihisia ... na hata tukiijadili kidini, basi tui-articulate na afya ya mwili
 
Jamani let us not lie to one another about kula ama kuliwa Tigo. Through religion uliwaji Tigo is banned, though the story doesn't get out much on how harmful it actually is. We learnt through science that anus was meant to excrete fecal matter and that's it. Not accepting foreign objects that are too large for the diameter and are usually forced in a violent manner. Even casual anal sex very often leads to anal leakage which means the fluid that naturally develops in your bowels will begin to seep out. This is because the sphincter, or seal, that is like a muscle which controls its opening gets worn out prematurely. So basically you're accelerating the natural process and giving yourself an old woman's butt long before you are old. Yaani inasikitisha sana na ni udhalilishaji wa hali ya juu kwa both mwanamke na mwanamme. It is NOT scientifically proven kwamba mwanamke ama mwamamme anasikia raha yeyote kulawitiwa kinyume na maumbile bali wanapata hisia tu. Uliwaji Tigo is dangerous for ANYONE, male or female. The possiblity of tearing the anus and colon are great that can lead to horrible infection and in some cases its lead to death. Siwatishii ila ukweli ndo huo jamani, acheni hii tabia.
 
Mkuu Mwanaweja
Ulawiti

Je bibilia yasema nini kuhusu mapenzi ya namna hii? Imeandikwa, Warumi 1:26-27 "Hivyo Mungu aliwaacha wafuate tama zao za aidu hata wanawake wakabadili matumizi ya asili kwa matumizi yasio ya asili wanaume nao vivyo hivyo, waliyaacha mtumizi ya mke, ya asili wakawakiana tama wanaume wakayatenda yasiyopasa wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao."

Je! mapenzi ya namna hii ni dhambi? Imeandikwa, Mambo ya walawi 18:22 "Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke ni machukizo."

Je anayefanya mapenzi ya namna hii atauridhi uzima? Imeandikwa, 1Wakorintho 6:9 "Au hamjui yakuwa wadhalimu hawatauridhi ufalme wa Mungu wala wabudu sanamu, wala wazinzi, wala wafiraji, wala walawiti."

Kama watenda dhambi wengine wanao fanya mapenzi ya namna hii wameitwa kutubu dhambi zao. Imeandikwa, 1Timotheo 1:10-11 "Na wazinzi, na wafiraji, na waibao watu, na waongo nao waapao kwa uongo; na likiwapo neno lo lote linginelo lisilopatana mafundisho yenye uzima, kama vile ilivyo nenwa katika habari njema ya utukufu wa Mungu ahidimiwaye, niliyowekewa amana."

Dhambi ya aina yo yote itupiliwe mbali na tuombe msamaha kwa Mungu. Imeandikwa, 1 Wakorintho 6:11 "Na baadhi yenu mlikuwa watu wa namna hii, lakini mlioshwa, lakini mlitakaswa, lakini mlihesabiwa haki katika jina la Bwana Yesu Kristo na katika Roho wa Mungu wetu."

Kuna tumaini kwa wao watendao mapenzi ya namna hii. Imeandikwa, 1Wakorintho 10:13 "Jaribu halikuwapata ninyi isipokuwa lililo kawaida ya wanadamu ila Mungu ni mwaminifu ambay hatawaachamjaribiwe kupita mwezavyo lakini paoja na lile jaribu atafanya na mlango wa kutokea, ilimweze kustahimili."

Je! kama wanfanya mapenzi ya namna hii ufanye je?. Kwanza kubali dhambi zako. Imeandikwa, Zaburi 51:2-4 "Unioshe kabisa na uovu wangu unitakase dhmbi zangu... maana nimeyajua mimi makosa yangu "

Pili omba msamaha kwa Mungu. Imeandikwa, Zaburi 51:7-12 "Unisafishe kwa hisopo nami nitakuwa safi, unioshe nami nitakuwa mweupe kuliko theluji unifanye kusikia furaha na shangwe mifupa uliyoiponda ifurahi. Usitiri uso wako usitazame dhambi zangu; uzifute hatia zangu zote. Ee Mungu

uniumbie moyo safi, uifanye upia roho iliyotulia ndani yangu. Usinitenge na uso wako wala Roho yako mtakatifu usiniondolee. Unirudishie furaha ya wokovu wako unitegemeze kwa roho ya usafi."

Tatu kubali yakuwa Mungu amekusamehe dhambi zako. Imeandikwa Zaburi 32:1-6 "Heri aliyesamehewa dhambi, na kusitiriwa makosa yake. Heri Bwana asiyemhesabia upotovu,, ambaye rohoni mwake hamna hila. Niliponyamaza mifupa yangu ilichakaa kwa kuugua kwangu mchana kutwa kwa

maana mchana na usiku mkono wako ulinilemea. jasho langu likakauka hata nikawa kama nchi kavu wakati wa kaskazi. Nalikujulisha dhambi yangu wala sikuufisha upotovu wangu nalisema nitayakiri maasi yangu kwa Bwana nawe ukanisamehe upotovu wa dhambi yangu. Kwa hiyo kila mtu mtauwa akuombe wakati unapopatikana, hakika maji makuu ya furikapo hayatamfikia yeye."

Wewe mtu sikuwezi kabisa' uko deep hadi huku.
 
Last edited by a moderator:
ATHARI ZA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE ( TIGO)

napenda nizungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika njia ya haja kubwa .

Wanaume waliowengi hivi sasa wamekuwa wakitamani
kuwaingilia wapenzi wao kinyume na maumbile kwa
lengo la kutaka kujiridhisha wao pasipo kujua athari zake na
katika hili athari hazimpati mwanaume tu bali hata kwa mwanamke.......

Athari zake:
Athari ya kwanza: KUZIBA KWA NJIA YA KUPITISHIA MKOJO

kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile kwa upande wa wanaume kunaweza kusababisha kuziba mrija uliopo kwenye uume unaopitisha mkojo, kwani pindi unapokuwa na mpenzi wako unatumia sehemu hii ya matakoni....

Tukumbuke kuwa sehemu hii ina chembe chembe za haja kubwa/mavi zinazokuwa zinapita kwenye lile tundu la kutolea mkojo, na endapo utakuwa unaendelea kutumia sehemu hii utajikuta zile chembe chembe zinajaa kwenye mrija hivyo itafikia kipindi mkojo utakuwa unashindwa kupita kwenye njia yake mpaka uende hospital wafanye upasuaji waweze kusafisha njia. ....AIBU..

Athari ya Pili: KUPANUKA KWA NJIA YA HAJA KUBWA NA KUSABABISHA KUTOKWA NA"MAVI" PINDI MWANAMKE ANAPOTAKA KUZAA

Athari hii hutokea kwa mwanamke ambae amezoea kuingiliwa kinyume na maumbile ...

Tatizo hutokea pindi anapotaka kuzaa, mwanamke anaeingiliwa kinyume na maumbile kwa muda mrefu ile sehemu yake ya haja kubwa hutanuka na kupelekea mishipa iliyozunguka sehemu ile kulegea hivyo inapotokea anahitaji kujifungua/kuzaa inabidi atumie nguvu nyingi katika kumsukuma mtoto ili aweze kutoka ....

Kutokana na mishipa ya ile sehemu yake ya haja kubwa kuwa imelegea,mwanamke hukosa nguvu ya kuziba eneo lile hivyo kipindi anajikema kumtoa mtoto ni rahisi mavi kutoka kwani njia itakuwa imetanuka na mishipa haifanyi kazi.
 
Sababu zako mbili ulizotoa...

1. Kuziba kwa njia ya kupitisha mkojo
: Ukitumia kondom itaziba pia????

2-Kupanuka kwa njia ya haja kubwa: Mbona watu kila siku wanajisaidia mashonde makubwa,manene na magumu kuliko mtalimbo mbona hawatanuki???, ije kutanuka kwa nyama laini + Ky jelly???
 
Nisaidia mimi hapo kwanza, ni Hospitali ipi inasafisha mrija? nisemeje kwa daktari? shukran
Mkuu Pharaoh Pole sana kama yameshakukuta nenda hospitali kuu ya Rufaa ya Muhimbili au nenda Hospitali ya Ocean Road au nenda hospitali ya Wahindi Hindul mandal kawaeleze ukweli Ma-Daktari usifiche hata kitu kimoja. Waswahili wamesema kila mficha uchi huwa hazai shauri yako ukificha maradhi yako.
 
Sababu zako mbili ulizotoa...

1. Kuziba kwa njia ya kupitisha mkojo
: Ukitumia kondom itaziba pia????

2-Kupanuka kwa njia ya haja kubwa: Mbona watu kila siku wanajisaidia mashonde makubwa,manene na magumu kuliko mtalimbo mbona hawatanuki???, ije kutanuka kwa nyama laini + Ky jelly???
Mkuu Boflo ukibisha wewe bisha tu kwani Walevi ndio wengi lakini wanakufa kwa ajali ya ulevi ni wachache tu,Wavuta sigara ni wengi tu lakini wanaopata

maradhi ya kansa ya mapavu kwa ajili ya kuvuta sigara ni wachache tu, Wezi ni wengi lakini wanaokamatwa kwa Wizi ni wachache

tu . wachawi ni wengi tu lakini wanaokamatwa kwa uchawi ni wachache tu,Mafisadi ni wengi tu lakini wanaokamatwa

kwa ufisadi na kufungwa ni wachache tu. Waswahili wamesema Za Mwizi ni siku zake 40 ikifa siku 40 mwizi ndio

anapokamatwa shauri yako ikiwa na wewe unafanya haka kijimchezo siku yako ya 40 itafika tu ukitaka usitake.
 
Kufanya na kutofanya ni maamuzi ya mtu binafsi......
Issue hapa hukujibu maswali niliyokuuliza???
Sigara na Ulevi vinaeleweka na madhara yake yako wazi kabisa...
 
hivi wapo wanaume wanaoziba bila kufanya hilo tendo?

na je wapo wanawake wanaokunya wakati wa kuzaa bila kufanya hilo tendo?
MziziMkavu siku hizi anataka kugeuka Babu wa Loliondo

Kuziba hata watoto wadogo wa miaka 9 inatokea, na kwa wanawake kunya wakati wa kuzaa inatokea sana, sio lazima wawe
wametoa tigo
 
Kufanya na kutofanya ni maamuzi ya mtu binafsi......
Issue hapa hukujibu maswali niliyokuuliza???
Sigara na Ulevi vinaeleweka na madhara yake yako wazi kabisa...
Mkuu Boflo nimesha kujibu na kuweka Thread hapo juu Kuhusu madhara ya kufanya Tigo bado wewe unaniletea Swali la ligi Eti mtu akifanya kwa kutumia Kondom hawezi kupata hayo maradhi ya kuzibika mkojo? kawaulize wanaofanya hilo tendo la tigo watakujibu unauliza maswali mengine hayana mpango wowote ule ukiweza wewe jaribu kufanya Tigo kwa kutumia kondom kisha utaona madhara yake na faida yake.
 
MziziMkavu siku hizi anataka kugeuka Babu wa Loliondo

Kuziba hata watoto wadogo wa miaka 9 inatokea, na kwa wanawake kunya wakati wa kuzaa inatokea sana, sio lazima wawe
wametoa tigo
Mkuu Boflo Unanipa cheo nisicho stahiki asante sana wewe Jaribu kutumia Tigo utaona faida yake na hasara yake ninakuacha hapo.
 
Last edited by a moderator:
hivi wapo wanaume wanaoziba bila kufanya hilo tendo?

na je wapo wanawake wanaokunya wakati wa kuzaa bila kufanya hilo tendo?
Mkuu Janjaweed Ungelikuwa

unajiheshimu kama ilivyo picha yako inaonyesha mtu mzima kumbe wewe ni bado kijana ninavyofikiri mimi wewe upo

kama mkuu Boflo maswali yenu Mnayo uliza kama vile mupo jela au kama maswali ya kilevi vile . Ukiambiwa huyu mtu amepatwa na maradhi kwa sababu ya

kuvuta sigara au ulevi basi wewe ikiwa unavuta sigara au unakunywa Pombe hauta acha kuvuta au kunywa Pombe ? Kuna tofauti kati ya maradhi ya kujitakia na maradhi

yaliyokutokea kwa rehema zake Mungu.Ukitumia Tigo ikiwa wewe ni Mwanamke au ni mwaname basi mwisho wake ni

mbaya utajulikana Hospitalini hata ufiche kivipi Ma-Daktari wakikupima watakugunduwa tu sasa ukitaka fanya hutaki usifanye ni chaguo lako mkuu Janjaweed
 
Sababu zako mbili ulizotoa...

1. Kuziba kwa njia ya kupitisha mkojo
: Ukitumia kondom itaziba pia????

2-Kupanuka kwa njia ya haja kubwa: Mbona watu kila siku wanajisaidia mashonde makubwa,manene na magumu kuliko mtalimbo mbona hawatanuki???, ije kutanuka kwa nyama laini + Ky jelly???

Hahaha haya maswali yako majibu yake magumu. Mi mwaka wa kumi huu nakula tigo fimbo haijaziba
 
Faida mbona hujataja mkuu mzizimkavu? Yusufuuuuu si faida uwapo semina au sehemu tulivu?
 
Mkuu Janjaweed Ungelikuwa

unajiheshimu kama ilivyo picha yako inaonyesha mtu mzima kumbe wewe ni bado kijana ninavyofikiri mimi wewe upo

kama mkuu Boflo maswali yenu Mnayo uliza kama vile mupo jela au kama maswali ya kilevi vile . Ukiambiwa huyu mtu amepatwa na maradhi kwa sababu ya

kuvuta sigara au ulevi basi wewe ikiwa unavuta sigara au unakunywa Pombe hauta acha kuvuta au kunywa Pombe ? Kuna tofauti kati ya maradhi ya kujitakia na maradhi

yaliyokutokea kwa rehema zake Mungu.Ukitumia Tigo ikiwa wewe ni Mwanamke au ni mwaname basi mwisho wake ni

mbaya utajulikana Hospitalini hata ufiche kivipi Ma-Daktari wakikupima watakugunduwa tu sasa ukitaka fanya hutaki usifanye ni chaguo lako mkuu Janjaweed

Mkuu

nimeuliza swali ili kuelewa na si ajabu ni maswali ya wengi; na haya maswali hayana umri wala hayamaanishi kwamba mimi nafanya... hii si mara ya kwanza kunijibu kwa emotions ninapouliza maswali yahusianayo na jinsia hasa kwenye ngono kinyume na maumbile.

when building a case, make it clear and be ready to respond to questions, regardless kama ni silly or not!! naamini wewe una interest na afya, hakuna afya bila elimu ya afya, na hakuna elimu ya afya bila majibu mazuri kwa maswali yoyote yale, in actual facts, hakuna swali la kitoto au kiutu uzima kwenye afya ya binadamu

Huwezi kuona aibu kwa daktari kwani yupo pale kwa ajili yako na ndio maana anakupa ushauri nahasa na elimu za afya na kiwajibu hatakiwi kutoa siri za mgonjwa....

JIBU MASWALI YANGU MAWILI USILETE EMOTIONS, AU YAACHE BILA KUPERSONALIZE HAIKUSAIDII
 
Kufanya na kutofanya ni maamuzi ya mtu binafsi......
Issue hapa hukujibu maswali niliyokuuliza???
Sigara na Ulevi vinaeleweka na madhara yake yako wazi kabisa...

Boflo unataka Mzizi_Mkavu akuelezeje? Kwani haukusoma alichokiandika ulidakia kumuuliza tu? Mbona kaeleweka vizuri tu na madhara yake ni hayo kuziba njia ya mkojo kwetu wanaume na wanawake mikundu inacheka tu muda wote bila break. Au Mzizi_Mkavu kakuumiza baada ya kuandika madhara ya starehe yako? Usife moyo we chapa tigo faida yake utaiyona ICU Muhimbili ndipo utakapomkumbuka Mzizi_Mkavu kwa machungu ya upasuaji.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom