Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

WARUMI 1: 27 wanaume nao vivyo hivyo waliyaacha matumizi ya mke, ya asili, wakawakiana tamaa, wanaume wakiyatenda yasiyopasa, wakapata nafsini mwao malipo ya upotevu wao yaliyo haki yao.
28 Na kama walivyokataa kuwa na Mungu katika fahamu zao, Mungu aliwaacha wafuate akili zao zisizofaa, wayafanye yasiyowapasa.

By Mtumishi Gerald Robert
 
Bora ulikimbia mi mwanaume akisema hicho kitendo namwacha maana nawaza lazima atakuwa anapewa na mashoga wakiume huko na wengine, so namwona mchafu. Hao wadada wasio........ Huko huwa kuna.......
omba Mungu mkuu akuepushe na hili ila loopholes za kusababisha wewe ufanye ni nyingi,wengi wametoa ili tu kuwaridhisha wanaume zao wapendwa sio kwa matakwa yao
 
omba Mungu mkuu akuepushe na hili ila loopholes za kusababisha wewe ufanye ni nyingi,wengi wametoa ili tu kuwaridhisha wanaume zao wapendwa sio kwa matakwa yao
Ni kweli only Mungu anaweza kuniepusha na msimamo dhabiti wengi wanetoa na kuachwa wameachwa vzuri tu.
 
Ni kweli only Mungu anaweza kuniepusha na msimamo dhabiti wengi wanetoa na kuachwa wameachwa vzuri tu.
Yaa unajua hakuna kitu kibaya kama kumpenda mtu to the state of comma, yaani baadae atakuwa mind controller wako,siku ataomba ajaribu hata kidogo,huta kuwa na uwezo wa ku resist,madem wengi walio kubuhu ukimuuliza alianzaje wala hawez kwambia alibakwa,atakwambiaalishwishiwa na man wake kkaanza kichwa mwisho mabawa........mwishoe yote!
 
Back
Top Bottom