Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mada za 0713 zisipewe kiki jamani! Zinavyozidi kuongelewa ndo wasiokua na ufahamu kuhusu hii kitu wanashawishika kujaribu. Yaani huwezi amini kuna mkaka alikua ata hajui watu wanavyoongelea tigo wanamaanisha nini!!! Akawa bize anapayuka Ooh mi natumia tigo na naipenda sana [emoji23][emoji23][emoji23] hakujua wenzake wanamaanisha huu mchezo haramu.

Hlf unajua na ww Dada paprika ni mnafiki sana, sasa kama hutaki kuzipa kiki hizi mada, umekoment kwenye hii thread ili iweje, bila shaka ushatoa tigo au unapanga kuja kutoa tigo sema unatuzuga tu hapa Paprika Sonko Jr.
 
[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Hivi watu wa kampuni ya mawasiliano ya TIGO wanajisikiaje wakiona brand yao inadhalilishwa hivi?

Kwanza nini chanzo cha kitendo hiki kuitwa Tigo?
 
Ile sio sumu, we unafikiri kwanini kiti moto ni tamu kuliko nyama ya ng'ombe
Siku zote vitu visivo halali ni vitamu sana mana shetani anakua pale 100% na anakuhamisha akili yako yote,afu cku ukianza kujutia naye anatoka na kukurudishia ile akili yako huku anakucheka unavo aibika
 
Back
Top Bottom