Bob12
JF-Expert Member
- Feb 27, 2017
- 11,422
- 58,790
Hapo ndo utajua watu wanaabudu sana ngono kuliko MunguHizi thread za hivi naona nazo zinahamasisha tu huu mchezo mchafu... Mods hebu mliangalie hili swala!
Maana coment zingine hadi zinatia kinyaa!