Foxhound
JF-Expert Member
- Dec 15, 2013
- 28,710
- 76,243
Hayo maneno ya kwenye vijiwe vya kahawa, ndio mnavyodanganyana, JF naona mnataka kuifanya kijiwe cha kahawa, umewahi kuthibitisha?
Sasa kama ulikuwa hujui mtoto wa kizenji kumtongoza hadi kumpata ni vigumu sana tofauti na huku kwetu bara vile vile sio kweli kuwa wanawala sana Goti bali ni itikadi zetu sisi huku bara.