Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

mie nililiwa tigo once,wala hainogi kama mbele......ingekuwa inanoga nisingesikia la mnadi swala....😱hwell: ushauri onja ukipenda usijinyime,usipopenda achana nayo....:target:

Gud sana imaney we ni mkweli, nina ushahid wa unalolisema na watu wengi wamekuja kujiuliza kwangu at first sio tamu huwa ni maumivu na umehitimisha vyema, huwez kumwambia addicted gel aaache tu akakuelewa, coz vp kwa wale wasiotaka au wasio na uwezo wa kuzaa?mkuu mzizi una hoja ila semea pande zote usiwe bias.ina madhara kimtindo lakin pia ni tamu sana kama **** alivyosema coz hata wauzaji huuza kwa gharama kidogo iyo tigo,kwaiyo inapendwa pia.
 
bibie imaney mimi nimeshukuru kuwa

umesema maneno ya ukweli kuwa ulijaribu lakini hukkuona raha yake ingawa unapinga niliyoyaweka hapo juu kwenye

Thread yangu ingawa wewe mwenyewe ulijaribu nakuona haina utamu wowote ule. Hebu tuzungumze kuhus mambo ya

Dini wewe utakuwa kam ni muislam au mkristo kwa vyovyote vile utakuwa ni mtu mwenye kuamini dmoja kati ya hizo dini

nilizozitaja ninakuuliza swali langu hili moja Je katika imani ya dini yako unayoamini hamjakatazwa kutumia Tigo? au imani

ya dini yako imeruhusu watu kuliwa Tigo au kula Tigo? Ninakuomba hapo unijibu.Na kama Dini yenu imekataza watu

kuliwa na kutumia Tigo wewe kwanini unanipinga kuwa hakuna madhaara ya mtu kuliwa au kula Tigo? Unapinga amri ya

Mungu alivyokataza watu Kutumia Tigo? wewe haumuogopi Mungu sio mimi?
 
Last edited by a moderator:
MAGONJWA YANAYOSABABISWA NA KULA AU KULIWA TIGO​
----------------------​

Kufanya sex ya aina yoyote ile inakuweka mtu katika hatari ya kupata magonjwa. Lakini pia cha kukumbuka ni kuwa kuliwa tigo au kula tigo kunamuweka mtu kuwa rahisi kupata magonjwa ya zinaa zaidi kuliko mtu anaefanya sex ya mbele


Magonjwa ambayo mtu anaweza kuyapata ni:


1.Ukimwi (Aids)
2.Kisonono
3.Cancer ya Tigo
4.Vidonda vya mdomoni au kooni
5.Hepatitis A au B
 
hapo kwenye red nipe hiyo aya, maana sijawahi kuona maneno hayo.
 
Mkuu,
Ukisikia majaribu, basi ndiyo haya. Hapa: ''how to do it safe'', ndiyo unaniweka katika wakati mgumu.
labda wapo ambao watatufundisha pia 'how to do it bila kupata dhambi au laana,' tuendelee kusubiri.
 
mie nililiwa tigo once,wala hainogi kama mbele......ingekuwa inanoga nisingesikia la mnadi swala....😱hwell: ushauri onja ukipenda usijinyime,usipopenda achana nayo....:target:
Huyo aliyekukula hajui jinsi ya kula hiyo kitu. Si unajua bata unamla huku umempakata, halafu simultaneuosly unamchezea clit. na G spot? unge-enjoy tu.
Just kidding dont take it serious.
 

uongo huu umesaidia kiasi fulani kwa sababu mayai yana cholesterol mbaya ambayo huongeza blood pressure, hii ni hatari haswa kwa mwanamke mjamzito especially wakati wa kujifungua.
 
Kama kweli wampenda umpendae tena kwa dhati na sio ubabaishaji, basi utamheshimu. Na ukimheshimu mpenzi wako awe mke ama g/f, basi hutowaza kumdhalilisha na huu upuzi. It's gross
Sherrif, inakuaje mamaa akiulizia apatiwe ile kitu kunako siko?
 

Nazifanyia kazi, kuna watu wanachukulia mzaha kwa kuenzi kufanya mapenzi kinyume na maumbile. Hivi kweli huyu Mungu anaridhia wapumbavu? Wake kwa waume wameamua kuwa mafilauni, hawasikii za adhana waka muadhini.

Ki ukweli sitaenzi kufanya mapenzi kinyume na maumbile, kama ni mume anataka huo uchafu "to hell"
 
Asante kwa elimu nzuri sana kaka yangu MziziMkavu ila duh! Kwa comments nilizoziona kweli watu wengi wanapenda huu mchezo mchafu......kuna bidada mmoja aliamua ati kumpatia mumewe ili asitoke nje ya ndoa baada ya kumwambia ndicho anakifuata huko lakini cha kushangaza bado anatoka tena anakula tigo hadi kwa wanaume wenzie

Ushauri kwa wanawake wenzangu -
Tigo haidumishi ndoa hata siku moja na mbaya zaidi ina madhara makubwa sana kwetu sisi wanawake. Huu ni unyanyaswaji wa hali ya juu kwa wanawake wanaolazimishwa kufanya hivyo.....Tena istoshe mwisho wa siku tutaumia zaidi baada ya kuathirika kwa namna moja au nyingine pamoja na kusalitiwa!!!
 
Kama kweli wampenda umpendae tena kwa dhati na sio ubabaishaji, basi utamheshimu. Na ukimheshimu mpenzi wako awe mke ama g/f, basi hutowaza kumdhalilisha na huu upuzi. It's gross

Kumpenda ni pamoja na kumpa vitu vitamu, sasa kwani kuna ubaya gani kumfanya nyuma mwanamke wako?
 
hii thread ifungwe tu,nahisi inawapandisha mzuka mabwabwa,,,,,:A S 100:
 
Ofcourse ni hatari sana kufanya hayo mambo,si bora mpeane hata style zingine kali ambazo msichana akibana maeneo flani basi jogoo ananata kweli kweli,kwa hyo wanaume kwa wanawake tuwe wabunifu kwa wapenzi wetu lakn sio kupitia tigo maana dini haziruhusu nna hakika.
 
Riwa naona umengangania tu watu wasitishwe, umezikataa athari zote alizoelezea Mzizimkavu zinazotokana na kuliwa/kula tigo.

Naomba utuelezee wewe athari/ madhara yanayotokana na kula/kuliwa tigo ni yapi???
 
Riwa naona umengangania tu watu wasitishwe, umezikataa athari zote alizoelezea Mzizimkavu zinazotokana na kuliwa/kula tigo.

Naomba utuelezee wewe athari/ madhara yanayotokana na kula/kuliwa tigo ni yapi???

Ni chaguo lako kutumia au kutotumia tigo lakini Mzizi Mkavu katoa sababu zilizokaa kimtaa zaidi na sio kitaaluma.Nimetoka kusoma Online Doctors sijakuta hayo madhara aliyosema huyo Mzizi Mkavu na ukichunguza maelezo ya Riwa yamelenga kueleza wazi jambo hili pasipo kufungamana pande yoyote.Tusiwe wavivu hebu zamieni kusoma facts kwenye google kuliko kuendeshwa na masababu ya uvumi tena yasiyo na reaserch behind.
 
Last edited by a moderator:

Tukiachana na madhara ya kimwili yako pia madhara ya kisaikolojia. Wengi wa watu wafanyao hayo akili zao haziko sawa na ndio maana wanahitaji maombi ili watoke huko kwani wanakuwa wamevaliwa na pepo wachafu ambao hawana tofauti na mbwa ambaye anaweza hata kula mavi yake mwenyewe na asione shida.

vilevile ki- Biblia wanaitwa mbwa ambao hawatauridhi uzima wa milele. kila afanyaye au afanywaye wote ni wanaitwa mbwa ambao hawataurithi uzima wa milele. Ili mtu apate kuishinda dhambi hiyo inayoletwa na roho za uchafu/mapepo wachafu anapaswa kufanya yafuatayo-
1. Kwanza lazima akubali kwamba yeye ni mwenye dhambi na amemkosea Mungu sana kwa kubadilisha matumizi ya asili na kuingiza matumizi yaliyo kinyume na matumizi yake ya asili;

2. Ajue Yesu kristo alikufa kwa ajili yake, akamwaga damu yake pale juu msalabani kwa ajili yake, akafa na kufufuka kama alivyosema kwa ajili yake ikimaanisha kwa kuwa alikufa na kufufuka kwa niaba yetu tukimkiri kwa vinywa vyetu na kutubu dhambi zetu kwa kumaanisha kuziacha atatupa uwezo wa kufanyika watoto wa Mungu. maisha yetu yatabadilika na hata wanaotufahamu watakushangaa na kudhani umerukwa na akili maana yele unayoyapenda sasa utayachukia milele Mathayo 1.21, Mithali 28.13, Luka 1.77 na Yohana 1.12


3. Baada ya kuokoka kukaa katika mafundisho ya kweli yasiyoghosiwa ili apate kujifunza ni nini yaliyo mapenzi ya Mungu ili asimtende tena Mungu dhambi zaburi 119.6-8

usione aibu kutubu na kuokoka kwani unayeteseka ni wewe binafsi unaowaonea aibu hawawezi kukusaidia zaidi ya kubaki wakikucheka pale unapoharibikiwa

natumaini ndugu mpendwa utazingatia haya ili upate pumziko la moyo
 

WEWE WEWE WEWE!!!! Naona umeanza uchokozi wa kichinichini. Hapo umegusa sipo kabisa!! Quran iliposema wake zenu ni mashamba yenu waendeeni mtakavyo hakumaanisha hivyo....
Hebu kwanza wacha tuinakili aya kama inavyosema kisha tunakili tafsiri yake kutoka humohumo katika Quran:

A-Baqara 223 " Wake zenu ni kama konde zenu. Basi ziendeeni konde zenu mpendavyo. Lakini jitangulizieni kheri nafsi zenu, na mcheni Mwenyezi Mungu, na jueni kuwa hakika nyinyi mtakutana naye. Na wape bishara njema Waumini......."

Tafsiri ya aya 223 hapo juu (kutoka katika Qurani hiyohiyo): Wake zenu ni mahali mwa kupatia uzazi, kama vile mbegu inavyo toa mmea. Basi ni halali kwenu kuwaingilia vyovyote kwa sharti ya kupitia njia za uzazi. Na mcheni Mwenyezi Mungu wala msimuasi katika kukaa kwenu na wanawake. Na mjue kuwa nyinyi mtakutana naye, na mna jukumu kwake. Furaha ni ya hao wanao simama juu ya mipaka yake Mtukufu na hawaikiuki.

Umeona tafsiri ya wanawake ni makonde yetu tuwaendee kama tupendavyo maana yake ni kwamba makonde ni sehemu unayoweza kumwaga mbegu zikamea. Sasa kumwingilia mke katika tiGO ukimwaga mbegu zitamea? Yaani mimba haiwezi kutunga kwa njia mapenzi kinyume na maumbile. Neno waendeeni mpendavyo maana yake ni kuwaingilia mara zote na kwa kiwango unachoweza ama anachohitaji mwanamke. Kama mara kumi, ishirini nk kwa siku hiyo ni rushusa ili muradi ni katika uke. Pia mitindo ya aina mbalimbali imekubaliwa, kichalichali, kiubavuubavu, kifo cha mende etc. Ndo tafsiri ya neno "waendeeni mtakavyo...."
 
Mbona athari chache ulizotaja. nyingine hizi:
i). uwezekano wa kupata maambukizi ya magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi kwa ajili ya michubuko kwa vile njia hiyo ni nyembamba ukilinganisha na ukeni.
ii). uwezekano wa kupata UTI ni mkubwa kwa vile haja kubwa huwa na vijidudu ambvyo vinawezaleta UTI.
iii). Ukizoea njia hiyo hutaweza kuinjoy tena kwa kutumia ukeni.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…