ATHARI ZA MAPENZI KINYUME NA MAUMBILE ( TIGO)
napenda nizungumzie athari 2 kubwa zinazotokana na kufanya mapenzi katika njia ya haja kubwa .
Wanaume waliowengi hivi sasa wamekuwa wakitamani
kuwaingilia wapenzi wao kinyume na maumbile kwa
lengo la kutaka kujiridhisha wao pasipo kujua athari zake na
katika hili athari hazimpati mwanaume tu bali hata kwa mwanamke.......
Athari zake:
Athari ya kwanza: KUZIBA KWA NJIA YA KUPITISHIA MKOJO
kumuingilia mwanamke kinyume na maumbile kwa upande wa wanaume kunaweza kusababisha kuziba mrija uliopo kwenye uume unaopitisha mkojo, kwani pindi unapokuwa na mpenzi wako unatumia sehemu hii ya matakoni....
Tukumbuke kuwa sehemu hii ina chembe chembe za haja kubwa/mavi zinazokuwa zinapita kwenye lile tundu la kutolea mkojo, na endapo utakuwa unaendelea kutumia sehemu hii utajikuta zile chembe chembe zinajaa kwenye mrija hivyo itafikia kipindi mkojo utakuwa unashindwa kupita kwenye njia yake mpaka uende hospital wafanye upasuaji waweze kusafisha njia. ....AIBU..
Athari ya Pili: KUPANUKA KWA NJIA YA HAJA KUBWA NA KUSABABISHA KUTOKWA NA"MAVI" PINDI MWANAMKE ANAPOTAKA KUZAA
Athari hii hutokea kwa mwanamke ambae amezoea kuingiliwa kinyume na maumbile ...
Tatizo hutokea pindi anapotaka kuzaa, mwanamke anaeingiliwa kinyume na maumbile kwa muda mrefu ile sehemu yake ya haja kubwa hutanuka na kupelekea mishipa iliyozunguka sehemu ile kulegea hivyo inapotokea anahitaji kujifungua/kuzaa inabidi atumie nguvu nyingi katika kumsukuma mtoto ili aweze kutoka ....
Kutokana na mishipa ya ile sehemu yake ya haja kubwa kuwa imelegea,mwanamke hukosa nguvu ya kuziba eneo lile hivyo kipindi anajikema kumtoa mtoto ni rahisi mavi kutoka kwani njia itakuwa imetanuka na mishipa haifanyi kazi.