Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Nimebaki tu kumshangaa kwa kweli
 
Lah! huu ushauri bora kabisa,[emoji106] [emoji122] ,kwanza yafaa kuachana na huyo mtendaji kwa maana huyo hakupendi kwa hiyo hana future nawe anakuharibu kisha atakudamp.
Lakini pia kumbuka hilo ni tendo lililolaaniwa na muumba, kwa hiyo kulitenda ni kujiingiza kwenye laana ya muumba na hii ni hatari kubwa zaidi kwako.
Ushauri wangu ni kwanza acha na umshauri mwenza wako kuhusu jambo hilo kama hakuelewi mwache kabla hajakuacha.
Pili tubia kwa kosa ulilofanya,na elewa kuwa hakuna kosa lisilosameheka kwa yeyote mbele ya muumba pindi akitubia kikweli.
Tatu tafuta wataalam wa ushauri watakao kushauri namna bora za kuliepuka janga hilo.
Mwisho namuomba muumba akuokoe na janga hilo
 
Kweli kabisa, "usipojithamini hakuna ambaye atakuthamini".
 
Kama sijaelewa vizuri unasema alipitia bahati mbaya akiwa amelewa na wewe ilikuwa Mara ya kwanza iliingiaje yote bila wewe kushituka?? Na mkaendeleza libeneke basi wewe ni mzoefu
Kaka Daud, iwe vyovyote vile lakini sasa nafsi yake inamsuta kwa kuwa si tendo jema, kikubwa kwa sisi ni kumshauri njia za kuliepuka jambo hilo.
 
Fuata ushauri huu ni mzuri
 
Iyo ni roho ishakuvamia ...kwanza uwe tayari kuachwa (kwasababu hana future na wew zaidi ya kujistarehesha na kukutumia), pili mueleze nia yako (na uwena msimamo) alafu ingia kwenye maombi (ata kwa kufunga na kuomba) ...Madhara yapo mengi pamoja na kulegea kwa Anus muscles ambazo zitakufanya ushindwe kujifungua kwa push mtoto (kila utakapo push utaachia haja kubwa)
 
Amini! hakuna dhambi isiyo samehewa, bali msamaha una sharti zake, mojawapo ni kuacha dhambi hiyo na pili kujutia kwa yale uliyoyatenda na mwisho tubia, amini utasamehewa, jithamini na muumba atakuthamini ukijitupa basi naye atakuacha.
Kubwa na la msingi sana ambalo wengi wamekushauri nami pia naungana nao kwamba achana na huyo jamaa kwanza kama kweli unataka kuacha, kinyume cha hapo unajidanganya, japo unahisi ni vigumu kuachana na huyo jamaa lakini kumbuka anakuangamiza.
 
Ushauri murua huu usiuache.
 
Endelea kutulia tu umekuwa mzoefu kama mwenzie kalewa ww hujalea inamanisha ulipenda kufirwa sasa endelea hivyohivyo

Huko ndio kwenye starehe Na raha
 
Jambo la kwanza kutatua tatizo ni kulitambua na kulichukia na hatua ya pili ni kukinai na kuamua kuacha kabisa.
Mimi naamini kabisa Dada yangu Brigit86 unaweza kuacha huu mchezo na kwakuwa umeongea basi moyo wako umechukua uamuzi na sasa ni akili yako kuanza kutendea kazi.
Mungu wetu ni wa Rehema atatusamehe na dhambi haijalishi ni dhambi ya aina gani. Ukitubu kwa dhati utakuwa umesamehewa kabisa.
Pole ila hongera kwa kuchukua hatua. Wote sisi ni watenda dhambi lakini ni neema tu ya msahama ndio maana tu hai hadi sasa.
Never give up!!
 

Uo mchezo ukishauanza hauachiki. Kukorogwa karo la choo simasihara utam wake.
 
Hakuna dhambi isiyosameheka!
 
Good boy.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…