Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Wewe unasema tunawaharibu....wenzio wanasikia raha hatari
cfa54077cfb59da5016d237ff0277451.jpg
Inna
 
Watalaamu wanasema sehemu za tigo zina hisia kali kwa sababu ya muishilizo wa uti wa mgongo. Uti wa mgongo ni sehemu ambayo ndio ina neva nyingi ndio maana tigo ina hisia kali kwa sababu ya neva nyingi zimeishia huko. Hivyo tigo mwanamke yeyote yupo tayari kutoa akiandaliwa vizuri. S
Du[emoji63]
 
Siku za hivi karibuni umeibuka mchezo mchafu sana wa mabinti hasa wa mjini kutaka au kupenda kufanya mapenzi kinyume na maumbile.

Uchunguzi wangu mdogo nimegundua mabinti wengi wa siku hizi wanapenda sana huu mchezo na hata sisi wanaume tunapenda kuwashawishi mabinti.

Unakuta binti ana miaka 17 lakini tayari keshazoea kufanywa nyuma ni hatari sana. Sasa najiuliza huu mchezo unazidi kukua kwa kasi kutokana na utandawazi au ndo kuiga au tunarudi enzi za sodoma na Gomora!??

Nawasilisha hoja za utafiti wangu.

Mucho gracias amigos!
Ndio maana wadada wengi siku hizi utasikia wamejifungua kwa operation na sometimes wanawaomba maness wawafanyie hivyo, kitu ambacho kipindi cha nyuma haikua kawaida sana
Sababu kubwa wamelegea nyuma
 
kwa mara yakwanza naambiwa na huku kunatumika
weeeee!!!!
ndio ilikua mwisho wa mahusiano
angalizo kwa wanaume/wavulana sisi ndio chanzo cha wanawake/wasicha kupenda 0713
 
Watalaamu wanasema sehemu za tigo zina hisia kali kwa sababu ya muishilizo wa uti wa mgongo. Uti wa mgongo ni sehemu ambayo ndio ina neva nyingi ndio maana tigo ina hisia kali kwa sababu ya neva nyingi zimeishia huko. Hivyo tigo mwanamke yeyote yupo tayari kutoa akiandaliwa vizuri. Ndio maana tigo ya mwanaume inamanyoya wakati ya mwanamke haina
Hata baadhi ya mwanamke ina manyoya lkn sio mengi.
Halafu unaongea kwa xperience sana mkuu
 
Uongo huo. Mwanaume ndo anaenjoy kuliwa tigo na sio mwanamke sababu G spot ya mwanamke haiko kwenye tigo
Watalaamu wanasema sehemu za tigo zina hisia kali kwa sababu ya muishilizo wa uti wa mgongo. Uti wa mgongo ni sehemu ambayo ndio ina neva nyingi ndio maana tigo ina hisia kali kwa sababu ya neva nyingi zimeishia huko. Hivyo tigo mwanamke yeyote yupo tayari kutoa akiandaliwa vizuri. Ndio maana tigo ya mwanaume inamanyoya wakati ya mwanamke haina
 
Ndugu zangu bado nitaendelea kuwapa Elimu ya bure kwa kila mwenye huelewa na Ufahamu wa kutosha nazani Atanielewa.

watu wengi wanajikuta ni waathirika wa mchezo wa kudandia ukuta kwa sababu kadhaa. Mosi ni stori za vijiweni, kwamba wanaume wanadanganyika mno na habari za kusikia kwa wengine.
Wapo wanaoingia huko kwa sababu ya kulazimishwa na wapenzi au waume zao. Kuna wanawake wanaoamua kujitoa mhanga kwa ajili ya kutibu shida za maisha. Pia lipo kundi linaloamini kwamba kwa kuwaruhusu wanaume wao kuwadandia ukuta, watawafanya wawapende zaidi.


Yapo maneno ya kuwa tendo likitekelezwa taratibu, pia matumizi ya mafuta yanaweza kuleta usalama. Mtandao wa womenanswers.org


unalizungumzia hilo lakini unachambua kwa upana kwamba mlango husika unaunga kwenye uti wa mgongo, hivyo ni lazima ulindwe kwa sababu ukiharibiwa husababisha ulemavu wa maisha.

Unaeleza kuwa mlango huo haupo kwa ajili ya kupitisha kitu kutoka nje, hivyo ukitumiwa ndivyo sivyo ni rahisi kuchanika, kumsababishia maumivu makali mhusika pamoja na kuvuja damu.

Yapo pia maneno kwamba ni rahisi mwanaume kufika mwisho anapopita mlango huo kwa sababu ni mdogo na unabana. Hayo yanaibua upofu wa kuona ukweli kuwa mwisho wa tendo ni sawa na kumsababishia ulemavu mtendwa.


“Mimi ni mke wa mtu, naomba unihifadhi jina. Mume wangu alidhani sifa kuniingilia kinyume na maumbile lakini nilipata usumbufu mkubwa wakati wa kuzaa. Niliambulia matusi kutoka kwa manesi kwani nilishindwa kumsukuma mtoto, hii yote ni kwa sababu ya mchezo huo”.

Nikifafanua SMS ya Mama X ni kuwa athari nyingine ya mapenzi ya kudandia ukuta ni wakati wa kuzaa. Kitaalamu mwanamke anayefungua mlango wa nyuma, inapofika wakati kumsukuma mtoto nao hufunguka na kukaa wazi, hivyo kumsababishia usumbufu mzazi na kuchoka haraka.

Kwa hali hiyo, mtoto hushindwa kutoka kwa urahisi kwenye njia yake kwa sababu mzazi hushindwa kumsukuma inavyotakiwa. Hilo linapotokea, wakunga huwa wakali dhidi ya wazazi na matokeo yake kwa wale wasio na staha ni kuwatolea lugha chafu.


Kuna simulizi kutoka Zanzibar kuwa mabinti wadogo huingia katika mchezo wa kuruhusu wageni kwa mlango wa nyuma ili kulinda bikira zao, kwamba heshima yao kwenye ndoa ni kukutwa ukiwa mwali. Wajuzi wa mambo wanasema ‘katabia’ hako Zenji kamekolea kweli kweli.

Yapo mafundisho ya kidini, ipo mifano ya Sodoma na Gomora ndani ya vitabu vya dini. Hii ina maana kuwa yeyote ambaye anajihusisha na mchezo huo, hafanyi kile kinachompendeza Mungu wake.

ATHARI YA KUDANDIA UKUTA KIAFYA
Pointi kuu ni kwamba watu wanaokimbilia mlango huo wako kwenye hatari kubwa ya kupata magonjwa kwa sababu kitaalamu, njia hiyo ni rahisi kupitisha Virusi Vya Ukimwi (VVU).

Inaeleweka kwamba, mwanamke hawezi kupata ujauzito kwenye njia hiyo, lakini nyongeza ya kitaalamu ni kuwa mlango wa nyuma kwa kawaida huwa una wadudu wenye maradhi (bacteria) ambao humshambulia mwanaume anayepita huko.

Hii ina maana kuwa tendo hilo hata kama litafanywa kwa kondomu, bado athari yake ni kubwa, bakteria ni wengi eneo hilo kwa ajili ya kulinda mlango husika. Hii ina maana kuwa hata kama nyote wawili mmepimwa na mmegundulika mpo salama lakini wadudu wa maradhi siku zote wapo kwenye njia hiyo.

Mapenzi ya kudandia ukuta, pia hutoa athari kwa mwanaume katika mfumo wa mkojo. Hii ni kwamba kuna urahisi wa kuingiliwa na chembechembe hatari na tatizo likiwa kubwa kumsabishia mhusika kwenda haja ndogo kwa kutumia mipira.

Ushauri ni kwamba mlango huo haupo kwa ajili ya mapenzi, hivyo kwa mwanamke ni mateso kuliko raha, pia kuchanika kwa urahisi kwa sababu njia hiyo haitanuki kama ilivyo kwa barabara ya kawaida (mlango wa kawaida).

Utafiti uliofanywa na mtandao wa womenask.com unaweka wazi ripoti yake kwamba mtu aliyezoea mchezo wa kupitisha mgeni kwa mlango wa nyuma, baadaye huathirika mno na hulazimika kuvaa nepi. Hii ni kwa sababu misuli yake hulegea, hivyo kushindwa kudhibiti haja.

Mtandao huo unashauri pia kwamba ikiwa mwanaume atapita mlango wa nyuma, hatakiwi kurudi mbele kwa sababu kwa kufanya hivyo,

anaweza kumuambukiza mwenzake wadudu wa maradhi ambao wameelezwa hapo juu kwamba wanapatikana kwenye mlango wa nyuma.

Ahsante kwa kuitimisha somo hili. Natumaini umejifunza kitu.
 
Back
Top Bottom