Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mkuu i dont want to be a devil advocate, ila haya mambo manabii, makuhani, masheikh, mapadre na wachungaji wanayaongea sana na vijana hawasikiii, tuombe Mungu wakusikie wewe.
Hakika inaitaji moyo mkubwa kuwaeleza watu hili swala mpaka wakakuelewa sio kazi raisi
 
Mimi ninaamini Mtu yoyote anaemuingilia MWANAMKE kinyume na Maumbile basi huyo Mtu akili zake si TIMAMU pamoja ya kuwa anaweza kujiona amekamilika.

Mbele kuna RAHA yake, unajitelezea unavyotaka.

Nyie mnaofuata Nyuma mnachokitaka ni nini?

Kuna Watu wa ajabu sana hapa ULIMWENGUNI
Tusije kuta wewe ni mtumiaji mzuri wa hayo mambo hila unaongea hapa hilo kuwavuta dada zetu
 
hizo habari za mknd kutanuka kwajili ya anal sex ni habari za kusadikika na wala hazifahamiki sana kwe medical community hata wale senior gastroenterologists hawajawahi kukutana na hizo case then wakaestablish cause kuwa ni anal sex, ila moja ya madhara ambayo mtu anayeingiliwa nyuma anaweza kuyapata ni kansa ya anus(anal cancer) ambayo ni mbaya sana nayo si kwamba inahusiana moja kwa moja na tendo lenyew bali ni kuwa kuna risk kubwa ya kuambukizwa virusi vya HPV ambavyo husababisha cancer hiyo, so ni vema hizo habari za kutanuka ukaweka pemben maana inaweza isitokee kabisa hata ukifny kwa miaka kumi lakini risk ya kupata maambukizi ya HPV itayokupelekea kupata cancer ya huko ndo yakuiogopa zaidi
Wapenda tigo utawajua tu.....HPV strains hata kwa vaginal sex inaleta cancer...cancer of the cervix by HPV 16&18,Vulva,vagina na penis....so sio only anal sex....acha tigo
 
Wapenda tigo utawajua tu.....HPV strains hata kwa vaginal sex inaleta cancer...cancer of the cervix by HPV 16&18,Vulva,vagina na penis....so sio only anal sex....acha tigo
mada hapa ni madhara ya anal sex ndio maana nkamention hatari ya kupata anal cancer sasa ww mkuu unaleta strains za HPV zinazosababisha cervical cancer zinahusikaje hapa banah ww? au mada inasemaje mzee?
 
ASANTE SANA !
WASIO YAELEWA ULIONDIIKA WAACHE WAFE TU KWA LAANA KUU!
 
Back
Top Bottom