Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Mbona unamshauri vibaya?? Mwenzio amelileta hapa ili kusudi atokee mtu amwambie arudi fasta.
Sio kweli, sijaja hapa kuomba ushauri wa mtu kwani maamuzi nilishayafanya mwenyewe
 
Asante, machozi yalishaisha. Sasa hivi nacheka kihutu tu
 
Umejitahidi kuandika story, katika hali ya kawaida tena kwa binadamu wa kike ni ngumu sana kwenda kushuhudia MTU aliyekuwa akimpenda anafunga ndoa hafu asimame kwa ujasiri kabisa bila kuzimia, au kulia kwa machozi mengi sana, mwanamke wa hivyo kama yupo basi anauwezo wa kufanya hata tukio la mauwaji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole sana bestie,ama kweli malipo ni hapahapa duniani na hayacheleweshwi.

Msamehe na uendelee na maisha yako tu maana waweza rudi kwake akarudia yaleyale ya mara ya kwanza
 
Wanasaikolojia nawaheshimu sana, alinijenga kiasi cha kusimama hivyo
 
"Nisamehe kipenzi changu Thad kwa kutokujulisha ile ni sinema tu tuliyokua tukicheza na iko mbioni kutoka.
Nakuomba unipe nafasi nyingine nikuoneshe ni namna gani navyokupenda.
Kumbuka (Kutenda kosa sio kosa bali kurudia kosa ndio kosa). "
Haya maneno nilimsikia jamaa mmoja akimwambia Dada mmoja.



Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yeah usimrudie though wanawake mko so weak tukimwwga chozi na mahali mezani ynakuta unalainika.ha haaaa.
Mungu akusaidie dada yangu.chozi lenu huwa sipendi kuliona kabsa sema ndio vile mens hatusomeki saa zingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Hata alie machozi ya damu, hawezi kunifanya nile matapishi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…