Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]yaani wewe
 
Wajua fika kuwa mie sio mpenzi wa movie, hivyo hiyo movie utaangalia na uliyeicheza naye!
 
Ila hivi vitu hivi.. basi tu moyo wa mtu kichaka. Na hamna feeling nzurii kama uone mtu kama huyo anakulilia wakati wewe ushamove on. Apambane na huba lake. Nimemsindikiza na tusi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Asante kwa kunisaidia kumtusi my dear!
Ilibidi nimwulize yaani kweli umepata ujasiri wa kunifata baada ya yote uliyonitenda? Kuna watu waajabu hapa duniani, naye ni mmoja wapo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…