Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Asante swahiba, kushindwa kumove on ingekuwa kujitesa zaidi! Nadhani sasa umeelewa nilivyosema mimi ni M/kiti wa wanao move on
Sasa nimeelewa, kweli "usilolijua ni sawa na usiku wa kiza".

Ila usisahau wahenga wanasema "Vya kale dhahabu" na pia "m*v* ya kale hayanuki"
Nakutakia "move on" njema M/kiti.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Pole

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huyo jamaa ni IBILISI, achana nae nakumbuka ex wng alinifanyia majanga ya Ku move kwngne yakamshnda akataka kurudi kwngu akakuta nna MTU. Dawa ya huyo ni siku akute mwanaume mwingine maana anavyokukuta upo single anafikiri wa kupendwa peke yake

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…