Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Suala sio kuniomba msamaha bali acha kuwaumiza watoto wa wanaume wenzio
Kiukweli mimi siyo mmoja wao
ila naomba msamaha maana nimeweka
utani sehemu isiyo yake,narudia nisamehe,
Nimejiwa na hisia Fulani ambapo kuna watu
niliwafahamu,waliishi miaka mingi bila kupata
mtoto na baadaye walipata ajali wakafa wote siku moja,
Mtu mmoja akawa anatusimulia kisa chao
kwamba kumbe yule mama alimpora mchumba rafiki yake
na hivyo ikawa laana kwake hadi umauti.
 
Maskini ya Mungu.... Ndio hivyo haya mambo yapo sana
 
Back
Top Bottom