Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nleterewa Nganengo
Kwa mamlaka niliyopewa tunakufungulia kesibya unyanyasaji hisia uliomfanyia bibie @Thad
😂😂😂 Tutakutana kortini![emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aisee, nilikua nasikia tu kwamba kuna watu wako korokoroni kwa sababu ya kusingiziwa leo ndo nimeamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Tutakutana kortini!
Basi nimeghairi, nitaenda milimani kukushtaki kwa wahenga. Wale nawaaminia hawana rushwa wala upendeleo hata chembe, wataamua kwa haki[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ungejua kortini mimi ni mpangaji wake tukuka usingehangaika, huu mwaka kama sio wa 33 basi wa 35.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Basi nimeghairi, nitaenda milimani kukushtaki kwa wahenga. Wale nawaaminia hawana rushwa wala upendeleo hata chembe, wataamua kwa haki
Asante ndugu yangu, haya maisha bwana ni duara mtu anazunguka wee mwisho wa siku anarudi alikotokeaDuh, kweli watu tunapata machungu yanayofanana. Kama haya haya, nilifanyiwa na bidada, akaondoka kwa mbwembwe kedekede. Lakini mwisho wake ilikuwa ni kurudi akinitambalia kuomba msamaha. Ndiyo, nilisamehe lakini nikawa nishafunga ukurasa.
Dah, pole sana dada yangu.
Tutajuana huko huko, usinitishe![emoji53][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usije kushtuka ukinikuta huko, sababu ndo kwanza nina miezi miwili tokea niwe M/Kiti wao.
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji57] [emoji57]Tutajuana huko huko, usinitishe![emoji53]
Nilikuwepo huku
Mimi na Thad ni maswahiba siku nyingi.Uswahiba na carbamazepine umeanza lini? Kama ni rafiki yako sema mapema. Huyo aliekuletea figisufigisu na yeye si alikua rafiki yako?
Funguka kama carba nae ni rafiki yako tumfanyie usaili upya.
carbamazepine
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Aisee, nilikua nasikia tu kwamba kuna watu wako korokoroni kwa sababu ya kusingiziwa leo ndo nimeamini.
Sent using Jamii Forums mobile app
Khaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usije kushtuka ukinikuta huko, sababu ndo kwanza nina miezi miwili tokea niwe M/Kiti wao.
Karibu sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
We jiandae tukutane kortini jumatano
Kheeee!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Khaaaa!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mbona huko kortini ndo nyumbani kwangu karibuni sana.
Msisite kuniambia niwaandalie chakula na kinywaji gani?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimekukumbuka sana, nakusalimu.Daaah ila best umefundisha jambo zuri sana hapa, ya kwamba acha wakati utaamua wenyewe
Hongera kwa moyo wa uvumilivu...sio rahisi na ninaamini ni nguvu za Mungu zaidi