Wakati mwingine ili utambue umuhimu na ubora wa mtu ni mpaka itokee hampo wote ndio kila mmoja hujua umuhimu wa mwenzie na pia ndio hujua kumbe yule ni bora au ana nafuu zaidi ya wengine,
Niliacha kwa staili yako sema sikuoa, baada ya miaka miwili nkaanza kumkumbuka, alikua hanitoki akilini mwangu, anabaki kua bora zaidi ya wengine, nilianza kumtafuta bila mafanikio, baada mwaka mzima wa kumsaka mara paap tumekutana barabarani, tuliongea vizuri tukapeana mawasiliano,
Sasa tuna miaka 6 tunaishi pamoja kwa amani saanaa na tuna watoto wa3.
Asipochafuka atajifunzaje??
Sent using
Jamii Forums mobile app