Amen dear!Yaan umemjibu kistarabu hadi nimezidi kukupenda. Yaan watu wenye mioyo kama yako(majibu yenye staha)ni wachache sana.
Thank God kwa kukupa huo moyo rafiki yangu mpenzi.
Mungu azidi kukupa baraka na maombi yako yakajibiwe sawasawa na mapenzi yake.
ngoja nitamwambia...alafu nitakuja kuComment [emoji3]Mwambie mumu akusimulie[emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiria comment yako hapa kwa hamungoja nitamwambia...alafu nitakuja kuComment [emoji3]
jioni lazima niiweke hapa comment yangu [emoji38][emoji23][emoji23][emoji23]Nasubiria comment yako hapa kwa hamu
Wakati mwingine ili utambue umuhimu na ubora wa mtu ni mpaka itokee hampo wote ndio kila mmoja hujua umuhimu wa mwenzie na pia ndio hujua kumbe yule ni bora au ana nafuu zaidi ya wengine,Nilishamsamehe zamani sana ila siwezi kurudiana naye, aliniona simfai ndio maana aliniacha na kufunga ndoa na rafiki yangu kipenzi, sina nilichobadilika mpaka anione leo ndio nafaa kuwa mkewe!
Nimefurahishwa na ushuhuda wako. Ni kweli kuwa tunajifunza kutokana na makosa. Lakini huyu wangu alifika mbali mno na sasa si wangu tena bali ni mume wa mtu mpaka kifo kiwatenganishe. Nadhani pia moyo wangu ulishakubali kuwa umempoteza hivyo hata afanyeje sioni dalili za moyo wangu kurudisha hata robo ya mapenzi niliyokuwa nayo kwake.Wakati mwingine ili utambue umuhimu na ubora wa mtu ni mpaka itokee hampo wote ndio kila mmoja hujua umuhimu wa mwenzie na pia ndio hujua kumbe yule ni bora au ana nafuu zaidi ya wengine,
Niliacha kwa staili yako sema sikuoa, baada ya miaka miwili nkaanza kumkumbuka, alikua hanitoki akilini mwangu, anabaki kua bora zaidi ya wengine, nilianza kumtafuta bila mafanikio, baada mwaka mzima wa kumsaka mara paap tumekutana barabarani, tuliongea vizuri tukapeana mawasiliano,
Sasa tuna miaka 6 tunaishi pamoja kwa amani saanaa na tuna watoto wa3.
Asipochafuka atajifunzaje??
Sent using Jamii Forums mobile app
Hata mimi nimeliona hilo la yeye kuoa ni changamoto kubwa sana kwako, hata yeye pia maana kiimani ya kikristo mtakua mnazini hata mkifunga ndoa nyingine km ile haijavunjwa, pia yule awezakuja baadae akawavuruga kwa kigezo yeye ndie mke halali wa ndoa.Nimefurahishwa na ushuhuda wako. Ni kweli kuwa tunajifunza kutokana na makosa. Lakini huyu wangu alifika mbali mno na sasa si wangu tena bali ni mume wa mtu mpaka kifo kiwatenganishe. Nadhani pia moyo wangu ulishakubali kuwa umempoteza hivyo hata afanyeje sioni dalili za moyo wangu kurudisha hata robo ya mapenzi niliyokuwa nayo kwake.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] huo wimbo wa kunizomea mimi au jamaa?"Iloooo ooo si ulijifanya mjanja sanaaa leo umepigwa na mtoto mdogo aibu imekupata.... kiko wapiii sasaaa ulichokua unajidai nachooo weee umeona wapi jogoo la shambaaa likawika mjiniii"
Sent using Jamii Forums mobile app
Jamaa[emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] huo wimbo wa kunizomea mimi au jamaa?
Asante best, maisha yanasonga uzuri siku nazo hazigandi
Vizuri. Sasa hivi ni wakati wake kupata somo.Asante best, maisha yanasonga uzuri siku nazo hazigandi
Afadhali maana nilidhani unanicheka mimi![emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kabisa!
Ahaa kumbe eehSiwezi kula kula matapishi! Nilimwambia arudi akalee mwanae wa kiarabu!
πππ kumbe nini?