Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kuna umuhimu wa kuhusisha wanasaikojia mambo yakikuzidi kimo.Nasikitikaga sana nikiona kwa mfano,kijana anapoteza miezi 36 ya maisha yake katika simanzi juu ya ajali za kimapenzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
Hakika hawa watu wana msaada sana katika jamii, ni vile tu hatuwatumii.

Ajali za mapenzi [emoji23] [emoji23] [emoji23] umenikumbusha group letu la wahanga tuliamua kuliita Majeruhi wa ajali za mapenzi. Huko kuna mikasa mpaka unaona mkasa wako ni cha mtoto!
 
Kuna Demu kabla sijaanza kumtafuna alinipigia sana hizo stories. Nikamuuliza Kama aliwahi kupigwa tigo, akakataa. Akasema hawezi kamwe kufanya wala kufanywa.
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Akirudi analia, mpokee kwa kicheko/tabasamu ingawa sikuambii umpokee, la hasha
Hakika nilimpokea kwa tabasamu mwanana kabisa, nikamsikiliza kisha nikamwabia kwangu si pema tena maana ameshapapema!
 
Niunge basi na mimi nikatoe ya moyoni bibie.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Maamuz mazur

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…