katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Usiingie akilini baki hivyo hivyo kwa maana kama hadi umesoma hapo juu kwanza unahitaji counselling kuweza kutambua hii kitu sio mchezo naona umeweka magunzi.Kumbuka wazinzi, wezi, wasengenyaji , wachepukaji, majambazi, wauaji na wengine Mungu hapendi na hawatawahurumia. Elimisheni kiafya zaidi ila kulifanya hili kosa kuwa kubwa kuliko mengine hainiingii akilini .
Sijakupinga hoja yako upande wa kiafya Soma vizuri unielewe sio kujudge tu. Nimemquote huyo mtu upande wa kiimani.Usiingie akilini baki hivyo hivyo kwa maana kama hadi umesoma hapo juu kwanza unahitaji counselling kuweza kutambua hii kitu sio mchezo naona umeweka magunzi.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mi nashangaa hivi kuna utamu kama wa mb.o.o kuingia Ku.ma.ni jamani waaai hawa watu Sijui wanawaza nini dahHivi nyie mnaofanya na kufanywa mnapata raha gani????!!
Mbele kote hakutoshi ??
Wote mnaofanya hvyoo ni mapepo tuu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
Umeshasema kulawiti mtoto hapo maana yake amemuingilia bila ridhaa yake. Sasa watu wazima walioamua kutifuana kwa raha zao na huyo muiba kuku wanatofauti gani?Ni kujitoa fahamu tu.
Aliyeiba kuku wako na aliyemlawiti mtoto wako wote sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hata uki drill vizuri mbele wanapata mshindo kirahisi.mwanamwali anapata mshindo kiurahisi sana!
😚😀😀 Ufiraji kati ya Mke na Mume unaonekana ni tatizo kiafya lakini haukuwahi pingwa kwenye biblia, ila ni chukizo na laana ukifanyika kati ya Me na Me (ushoga) hicho tu ndio kilichofanya mpaka Sodoma na Gomora zipigwe kiberiti!..Dah naomba namba yako nikueleweshe umepotea kabisa ndugu yangu naomba tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwa hyo kumbe Mwanao akiingiliwa kwa ridhaa yake hamna shida?Umeshasema kulawiti mtoto hapo maana yake amemuingilia bila ridhaa yake. Sasa watu wazima walioamua kutifuana kwa raha zao na huyo muiba kuku wanatofauti gani?
Una maanisha kwenye biblia imeniruhusiwa kuingiliana kinyume na maumbile kati ya mke na mume?😚😀😀 Ufiraji kati ya Mke na Mume unaonekana ni tatizo kiafya lakini haukuwahi pingwa kwenye biblia, ila ni chukizo na laana ukifanyika kati ya Me na Me (ushoga) hicho tu ndio kilichofanya mpaka Sodoma na Gomora zipigwe kiberiti!..
Tatizo ni kwamba unaongea bila hoja. Zote ni dhambi natambua lakini mmeikomalia hii as if ndio dhambi kubwa pekee hapa duniani. Najua hapo unazo dhambi nyingi tu ndo nakwambia huna tofauti na wanaotifuana...wote mtahukumiwa na kuchomwa Moto. Ni Bora mkaeleza madhara ya kiafya inaeleweka lkn mnapiga kelele hapa kinafiki wakati wengine ni wazinzi, majambazi, wachonganganishi, waongo na mengine mengi.
Tatizo ni kwamba unaongea bila hoja. Zote ni dhambi natambua lakini mmeikomalia hii as if ndio dhambi kubwa pekee hapa duniani. Najua hapo unazo dhambi nyingi tu ndo nakwambia huna tofauti na wanaotifuana...wote mtahukumiwa na kuchomwa Moto. Ni Bora mkaeleza madhara ya kiafya inaeleweka lkn mnapiga kelele hapa kinafiki wakati wengine ni wazinzi, majambazi, wachonganganishi, waongo na mengine mengi.
Wamejaribisha zote wakaona iyo ndo nzuri jarbu na wewe unaweza kuja na majibu ya wengineMi nashangaa hivi kuna utamu kama wa mb.o.o kuingia Ku.ma.ni jamani waaai hawa watu Sijui wanawaza nini dah
Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezungumza hivyo kwasababu watu wanasahau kabisa Kama Kuna dhambi nyingine, yaani anamuingiza Mungu kwenye hili suala wakati yapo mengine machafu anayafanya waziwazi haoni Kama ni tatizo. Hili kwasababu linahusisha kiungo Cha Siri ndo inaonekana Ni laana kuliko mengine. Sidhani Kama mbele za Mungu ipo hivyoHapa nimekuelewa na umeenda kwenye point.
Ila sasa kama mada yetu ni liwati kwa nini tuzungumzie wizi?
Kila mada ikifika pahala pake itajadiliwa tu.
Hivi unafikiri kwa nini sheria za nchi zimeweka hukumu tofauti katika makosa na watu wana hukumiwa tofauti tofauti kwa makosa tofauti japokuwaacyote ni makosa mkuu?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mmmhhh!!!kuliwa tigo mwanamke ni sahihi?A. Mwanaume kwa Mwanamke ni starehe
B. Mwanaume kwa Mwanaume ni laana!..
Tafuteni A iliyoandikwa ni laana!. Sehemu nyingi zimeonyesha B ni laana!.
Tendo la ndoa ni muunganiko wa mke na mume hakukuwekwa masharti jinsi ya kulifanya!.
Kumbe unajuwaTatizo ni kwamba unaongea bila hoja. Zote ni dhambi natambua lakini mmeikomalia hii as if ndio dhambi kubwa pekee hapa duniani. Najua hapo unazo dhambi nyingi tu ndo nakwambia huna tofauti na wanaotifuana...wote mtahukumiwa na kuchomwa Moto. Ni Bora mkaeleza madhara ya kiafya inaeleweka lkn mnapiga kelele hapa kinafiki wakati wengine ni wazinzi, majambazi, wachonganganishi, waongo na mengine mengi.
Nimezungumza hivyo kwasababu watu wanasahau kabisa Kama Kuna dhambi nyingine, yaani anamuingiza Mungu kwenye hili suala wakati yapo mengine machafu anayafanya waziwazi haoni Kama ni tatizo. Hili kwasababu linahusisha kiungo Cha Siri ndo inaonekana Ni laana kuliko mengine. Sidhani Kama mbele za Mungu ipo hivyo
Wanaofumuana marinda hao ni maamuzi yao ya laana tu wala hakuna sunna,nsaidie kiu yangu wala lolote.Aliyekurubuni umpe TiGO wakati wa hedhi huyo ni muhuni na kibaka tu.Hakuna andiko,hadithi wala sheria ya kumung'unya sumaku.Tukafanye sensa hapi mtaani kwenu waislamu wakike wangapi wanafumuliwa humo na wakristo wangapi kama hutaukana uislamu mimi nimeishi na nyie sana sio kwa ukwe na sio kwa marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Leta ushahidi.Kingine mwanaume akiruka ukuta kwa mwanamke baadae Huenda kwa mwanaume na mwishoni hugeuzwa yeye.
Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi ndugu yangu.Nimekuelewa mkuu na hoja yako ni nzuri.
Kuna kipindi nipo unguja jamaa alisemwa kwamba anafanya dhambi kula nguruwe,mimi nikawauliza mbona uislamu unakataza riba hatuoni mkikatazana badala yake mnamsema huyu wa nguruwe,au riba sio dhambi? Wakabaki wameduwaa tu.so hoja yako nimeielewa.
Ila ninachosema Kwa mujibu wa imani yangu wizi na liwati zote ni dhambi.
Lakini hukumu ya mwizi na mfanya liwati hazifanani huyu wa liwati ana dhambi kubwa zaidi ya mwizi.
Na muuwaji ana dhambi kubwa zaidi ya mfanya liwati.
Dhambi zinatofautiana hata kama zote ni dhambi(kwa mujibu wa imani yangu lakini)
Ndyo maana hata mahakama hutofautisha adhabu kylingana na makosa.
Lakini yote yanakemewa.
Haiwezekani mwanaume anayelawiti awe trated sawa na mwanaume mwizi wa kuku.hii sio sawa sabisa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio maana nakupendaHivi nyie mnaofanya na kufanywa mnapata raha gani????!!
Mbele kote hakutoshi ??
Wote mnaofanya hvyoo ni mapepo tuu[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahahaMtihani haki tena
Ila hakuna kiumbe mbinafsi km mwanaume yaani wanaona tunafaidi kuliwa eeeh!na wao wanaona bora waliwe daah
Sent using Jamii Forums mobile app