Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kumbuka wazinzi, wezi, wasengenyaji , wachepukaji, majambazi, wauaji na wengine Mungu hapendi na hawatawahurumia. Elimisheni kiafya zaidi ila kulifanya hili kosa kuwa kubwa kuliko mengine hainiingii akilini .
Usiingie akilini baki hivyo hivyo kwa maana kama hadi umesoma hapo juu kwanza unahitaji counselling kuweza kutambua hii kitu sio mchezo naona umeweka magunzi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah naomba namba yako nikueleweshe umepotea kabisa ndugu yangu naomba tafadhali.
Sent using Jamii Forums mobile app
😚😀😀 Ufiraji kati ya Mke na Mume unaonekana ni tatizo kiafya lakini haukuwahi pingwa kwenye biblia, ila ni chukizo na laana ukifanyika kati ya Me na Me (ushoga) hicho tu ndio kilichofanya mpaka Sodoma na Gomora zipigwe kiberiti!..
 
Una maanisha kwenye biblia imeniruhusiwa kuingiliana kinyume na maumbile kati ya mke na mume?
 
Kwa hyo kumbe Mwanao akiingiliwa kwa ridhaa yake hamna shida?

Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo ni kwamba unaongea bila hoja. Zote ni dhambi natambua lakini mmeikomalia hii as if ndio dhambi kubwa pekee hapa duniani. Najua hapo unazo dhambi nyingi tu ndo nakwambia huna tofauti na wanaotifuana...wote mtahukumiwa na kuchomwa Moto. Ni Bora mkaeleza madhara ya kiafya inaeleweka lkn mnapiga kelele hapa kinafiki wakati wengine ni wazinzi, majambazi, wachonganganishi, waongo na mengine mengi.
 
Hapa nimekuelewa na umeenda kwenye point.

Ila sasa kama mada yetu ni liwati kwa nini tuzungumzie wizi?

Kila mada ikifika pahala pake itajadiliwa tu.
Hivi unafikiri kwa nini sheria za nchi zimeweka hukumu tofauti katika makosa na watu wana hukumiwa tofauti tofauti kwa makosa tofauti japokuwa yote ni makosa mkuu?
Tatizo ni kwamba unaongea bila hoja. Zote ni dhambi natambua lakini mmeikomalia hii as if ndio dhambi kubwa pekee hapa duniani. Najua hapo unazo dhambi nyingi tu ndo nakwambia huna tofauti na wanaotifuana...wote mtahukumiwa na kuchomwa Moto. Ni Bora mkaeleza madhara ya kiafya inaeleweka lkn mnapiga kelele hapa kinafiki wakati wengine ni wazinzi, majambazi, wachonganganishi, waongo na mengine mengi.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hapa nimekuelewa na umeenda kwenye point.

Ila sasa kama mada yetu ni liwati kwa nini tuzungumzie wizi?

Kila mada ikifika pahala pake itajadiliwa tu.
Hivi unafikiri kwa nini sheria za nchi zimeweka hukumu tofauti katika makosa na watu wana hukumiwa tofauti tofauti kwa makosa tofauti japokuwaacyote ni makosa mkuu?

Sent using Jamii Forums mobile app
Nimezungumza hivyo kwasababu watu wanasahau kabisa Kama Kuna dhambi nyingine, yaani anamuingiza Mungu kwenye hili suala wakati yapo mengine machafu anayafanya waziwazi haoni Kama ni tatizo. Hili kwasababu linahusisha kiungo Cha Siri ndo inaonekana Ni laana kuliko mengine. Sidhani Kama mbele za Mungu ipo hivyo
 
A. Mwanaume kwa Mwanamke ni starehe
B. Mwanaume kwa Mwanaume ni laana!..

Tafuteni A iliyoandikwa ni laana!. Sehemu nyingi zimeonyesha B ni laana!.
Tendo la ndoa ni muunganiko wa mke na mume hakukuwekwa masharti jinsi ya kulifanya!.
Mmmhhh!!!kuliwa tigo mwanamke ni sahihi?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tatizo ni kwamba unaongea bila hoja. Zote ni dhambi natambua lakini mmeikomalia hii as if ndio dhambi kubwa pekee hapa duniani. Najua hapo unazo dhambi nyingi tu ndo nakwambia huna tofauti na wanaotifuana...wote mtahukumiwa na kuchomwa Moto. Ni Bora mkaeleza madhara ya kiafya inaeleweka lkn mnapiga kelele hapa kinafiki wakati wengine ni wazinzi, majambazi, wachonganganishi, waongo na mengine mengi.
Kumbe unajuwa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimezungumza hivyo kwasababu watu wanasahau kabisa Kama Kuna dhambi nyingine, yaani anamuingiza Mungu kwenye hili suala wakati yapo mengine machafu anayafanya waziwazi haoni Kama ni tatizo. Hili kwasababu linahusisha kiungo Cha Siri ndo inaonekana Ni laana kuliko mengine. Sidhani Kama mbele za Mungu ipo hivyo

Nimekuelewa mkuu na hoja yako ni nzuri.

Kuna kipindi nipo unguja jamaa alisemwa kwamba anafanya dhambi kula nguruwe,mimi nikawauliza mbona uislamu unakataza riba hatuoni mkikatazana badala yake mnamsema huyu wa nguruwe,au riba sio dhambi? Wakabaki wameduwaa tu.so hoja yako nimeielewa.

Ila ninachosema Kwa mujibu wa imani yangu wizi na liwati zote ni dhambi.
Lakini hukumu ya mwizi na mfanya liwati hazifanani huyu wa liwati ana dhambi kubwa zaidi ya mwizi.

Na muuwaji ana dhambi kubwa zaidi ya mfanya liwati.

Dhambi zinatofautiana hata kama zote ni dhambi(kwa mujibu wa imani yangu lakini)

Ndyo maana hata mahakama hutofautisha adhabu kylingana na makosa.

Lakini yote yanakemewa.
Haiwezekani mwanaume anayelawiti awe trated sawa na mwanaume mwizi wa kuku.hii sio sawa sabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tukafanye sensa hapi mtaani kwenu waislamu wakike wangapi wanafumuliwa humo na wakristo wangapi kama hutaukana uislamu mimi nimeishi na nyie sana sio kwa ukwe na sio kwa marafiki.
Sent using Jamii Forums mobile app
Wanaofumuana marinda hao ni maamuzi yao ya laana tu wala hakuna sunna,nsaidie kiu yangu wala lolote.Aliyekurubuni umpe TiGO wakati wa hedhi huyo ni muhuni na kibaka tu.Hakuna andiko,hadithi wala sheria ya kumung'unya sumaku.
 
Nimekuelewa mkuu na hoja yako ni nzuri.

Kuna kipindi nipo unguja jamaa alisemwa kwamba anafanya dhambi kula nguruwe,mimi nikawauliza mbona uislamu unakataza riba hatuoni mkikatazana badala yake mnamsema huyu wa nguruwe,au riba sio dhambi? Wakabaki wameduwaa tu.so hoja yako nimeielewa.

Ila ninachosema Kwa mujibu wa imani yangu wizi na liwati zote ni dhambi.
Lakini hukumu ya mwizi na mfanya liwati hazifanani huyu wa liwati ana dhambi kubwa zaidi ya mwizi.

Na muuwaji ana dhambi kubwa zaidi ya mfanya liwati.

Dhambi zinatofautiana hata kama zote ni dhambi(kwa mujibu wa imani yangu lakini)

Ndyo maana hata mahakama hutofautisha adhabu kylingana na makosa.

Lakini yote yanakemewa.
Haiwezekani mwanaume anayelawiti awe trated sawa na mwanaume mwizi wa kuku.hii sio sawa sabisa.

Sent using Jamii Forums mobile app
Upo sahihi ndugu yangu.
 
Back
Top Bottom