katoto kazuri
JF-Expert Member
- Feb 10, 2018
- 6,124
- 5,745
Usiingie akilini baki hivyo hivyo kwa maana kama hadi umesoma hapo juu kwanza unahitaji counselling kuweza kutambua hii kitu sio mchezo naona umeweka magunzi.Kumbuka wazinzi, wezi, wasengenyaji , wachepukaji, majambazi, wauaji na wengine Mungu hapendi na hawatawahurumia. Elimisheni kiafya zaidi ila kulifanya hili kosa kuwa kubwa kuliko mengine hainiingii akilini .
Sent using Jamii Forums mobile app