The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Yes uko vizuri mkuuNimezungumza hivyo kwasababu watu wanasahau kabisa Kama Kuna dhambi nyingine, yaani anamuingiza Mungu kwenye hili suala wakati yapo mengine machafu anayafanya waziwazi haoni Kama ni tatizo. Hili kwasababu linahusisha kiungo Cha Siri ndo inaonekana Ni laana kuliko mengine. Sidhani Kama mbele za Mungu ipo hivyo
Hakuna muujiza Kila kitu kimeandikwa na kusemwa ...vitabu vya dini na vitabu vya masuala ya afya ...ni juu yako kusuka au kunyoa!!!hayo. ni mapepo ,shetani ni mjanja sana aliona kitu pekee cha kumuangamiza mwanadam wa sasa ni ngono, WE NEED A MIRACLE
Nimemaanisha haijakataza kuingiliana kati yao!.. Sawa na kuuliza wapi Missionary position iliwekwa ndio staili iliyopewa baraka!Una maanisha kwenye biblia imeniruhusiwa kuingiliana kinyume na maumbile kati ya mke na mume?
Kama ni Mke na Mume hiyo ni aina ya tendo la ndoa!.. Au kuna kifungu kiliweka staili za ndoa umewahi kisoma?..Mmmhhh!!!kuliwa tigo mwanamke ni sahihi?
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitake radhi wewe mi sio mpotokaji namna hiyoWamejaribisha zote wakaona iyo ndo nzuri jarbu na wewe unaweza kuja na majibu ya wengine
[emoji106][emoji106]Yes uko vizuri mkuu
OkNimemaanisha haijakataza kuingiliana kati yao!.. Sawa na kuuliza wapi Missionary position iliwekwa ndio staili iliyopewa baraka!
Mmh Lina ukweli hili? Iwe dhambi kwa wasio na ndoa pekee?Nimemaanisha haijakataza kuingiliana kati yao!.. Sawa na kuuliza wapi Missionary position iliwekwa ndio staili iliyopewa baraka!
Tendo la ndoa ni mbele tu nyuma ni sodoma na gomora hata kwa mkeo!Kama ni Mke na Mume hiyo ni aina ya tendo la ndoa!.. Au kuna kifungu kiliweka staili za ndoa umewahi kisoma?..
Wao wanadhambi wameambiwa wasiziniVipi kuhusu wafanywaji na wazinzi wa kawaida ( wala k) wao wako exempted kwenye hiyo laana ?
kwani kufanya mapenzi kwa uume na uke bila ndoa ni halali!?..Mmh Lina ukweli hili? Iwe dhambi kwa wasio na ndoa pekee?
Kwaiyo wewe unapenda ata kufumuliwa ?Ni sawa kwa sababu matundu ni yale yale.
Au wewe kwa nini unaona sio sawa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu wanandoa waliyopewa limit hiyo!..Tendo la ndoa ni mbele tu nyuma ni sodoma na gomora hata kwa mkeo!
Simjuzi sana wa kusoma vitabu vya dini lakini najua hata wanandoa wamepewa limitations pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Vise versa is true labda kama Una upromote huo ushoga maana kuuongea tu ni kuupa promoNiko bega kwa bega na wewe tuutokomeze hii kitu tuundeni group la KUUTOKOMEZA USHOGA INAWEZEKANA.
Sent using Jamii Forums mobile app
mm ata sina dini nashukuru Sana wewe mungu wa ushoga Kwa kunihukumu ubarikiwe na wenzakoWewe ni wale wafuatao kwa maana ni dini yenu inaongoza kwa kupenda hii kitu wanaita suna.
Tena wewe kama si shoga basi unafumua wenzako .
Sent using Jamii Forums mobile app
Sasa inakuaje walio kwenye ndoa wengi hawafanyi wao kwa wao? Unakuta mume anafanya kwa mchepuko, na mke vile vile. Kama Ni halali kwao kwanini wasijipe raha wanafanya kwa kificho huko nje?kwani kufanya mapenzi kwa uume na uke bila ndoa ni halali!?..
ww kwaiyo mungu aliruhusu wanawake wafumuliwe nyuma acha kumshuhudia mungu ya uongoA. Mwanaume kwa Mwanamke ni starehe
B. Mwanaume kwa Mwanaume ni laana!..
Tafuteni A iliyoandikwa ni laana!. Sehemu nyingi zimeonyesha B ni laana!.
Tendo la ndoa ni muunganiko wa mke na mume hakukuwekwa masharti jinsi ya kulifanya!.