Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Nimezungumza hivyo kwasababu watu wanasahau kabisa Kama Kuna dhambi nyingine, yaani anamuingiza Mungu kwenye hili suala wakati yapo mengine machafu anayafanya waziwazi haoni Kama ni tatizo. Hili kwasababu linahusisha kiungo Cha Siri ndo inaonekana Ni laana kuliko mengine. Sidhani Kama mbele za Mungu ipo hivyo
Yes uko vizuri mkuu
 
hayo. ni mapepo ,shetani ni mjanja sana aliona kitu pekee cha kumuangamiza mwanadam wa sasa ni ngono, WE NEED A MIRACLE
Hakuna muujiza Kila kitu kimeandikwa na kusemwa ...vitabu vya dini na vitabu vya masuala ya afya ...ni juu yako kusuka au kunyoa!!!
 
Una maanisha kwenye biblia imeniruhusiwa kuingiliana kinyume na maumbile kati ya mke na mume?
Nimemaanisha haijakataza kuingiliana kati yao!.. Sawa na kuuliza wapi Missionary position iliwekwa ndio staili iliyopewa baraka!
 
Kama ni Mke na Mume hiyo ni aina ya tendo la ndoa!.. Au kuna kifungu kiliweka staili za ndoa umewahi kisoma?..
Tendo la ndoa ni mbele tu nyuma ni sodoma na gomora hata kwa mkeo!

Simjuzi sana wa kusoma vitabu vya dini lakini najua hata wanandoa wamepewa limitations pia

Sent using Jamii Forums mobile app
 
WAFIRAJI na WAFIRWAJI wameuvamia huu uzi kwa kasi ya 4G; mimavi inanukaa kila kona!!!!!!!
 
Tendo la ndoa ni mbele tu nyuma ni sodoma na gomora hata kwa mkeo!
Simjuzi sana wa kusoma vitabu vya dini lakini najua hata wanandoa wamepewa limitations pia
Sent using Jamii Forums mobile app
Hakuna sehemu wanandoa waliyopewa limit hiyo!..
Kuhusu sodoma na gomora ni habari nyingine inayohitaji maelezo yake, nikitulia ntakupa.
 
kwani kufanya mapenzi kwa uume na uke bila ndoa ni halali!?..
Sasa inakuaje walio kwenye ndoa wengi hawafanyi wao kwa wao? Unakuta mume anafanya kwa mchepuko, na mke vile vile. Kama Ni halali kwao kwanini wasijipe raha wanafanya kwa kificho huko nje?
 
A. Mwanaume kwa Mwanamke ni starehe
B. Mwanaume kwa Mwanaume ni laana!..

Tafuteni A iliyoandikwa ni laana!. Sehemu nyingi zimeonyesha B ni laana!.
Tendo la ndoa ni muunganiko wa mke na mume hakukuwekwa masharti jinsi ya kulifanya!.
ww kwaiyo mungu aliruhusu wanawake wafumuliwe nyuma acha kumshuhudia mungu ya uongo

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom