The hitman
JF-Expert Member
- Nov 30, 2017
- 3,673
- 2,288
Yes uko vizuri mkuuNimezungumza hivyo kwasababu watu wanasahau kabisa Kama Kuna dhambi nyingine, yaani anamuingiza Mungu kwenye hili suala wakati yapo mengine machafu anayafanya waziwazi haoni Kama ni tatizo. Hili kwasababu linahusisha kiungo Cha Siri ndo inaonekana Ni laana kuliko mengine. Sidhani Kama mbele za Mungu ipo hivyo