Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Lakini hilo suala ufanywa Zaidi na jamii ya watu weupe na brown kuliko weusi , mbona hatusikii hayo madhara wakipata ?
kwa sababu ni kitu ambacho kinakuwa promoted kwa kasi ya juu sana hakuna,ambaye atathubutu kusema ubaya au madhara hata yakimpata atabaki anagumia kivyake kitibiwa basi akifa ndo nitolee.
 
A. Mwanaume kwa Mwanamke ni starehe
B. Mwanaume kwa Mwanaume ni laana!..

Tafuteni A iliyoandikwa ni laana!. Sehemu nyingi zimeonyesha B ni laana!.
Tendo la ndoa ni muunganiko wa mke na mume hakukuwekwa masharti jinsi ya kulifanya!.
point yako ya pale kwenye A imesimama sana mkuu but then hapo nilipopabold mkuu

Ni kweli hakuna masharti yaliwekwa kwenye namna ya kulifanya but vifanyio vimewekwa wazi as nini kitumike kulitekeleza hilo,coz kile kinachotuambia kuwa tendo la ndoa ni kati ya mwanaume na mwanamke ndio hicho hicho kinatuambia kuwa ufiraji na ulawiti hautakiwa

ambapo ulawiti ni mwanaume na mwaname kutumia njia ya haja kuwa kubwa kufanya mapenzi kutia ndani na matendo yoyote ya kingono baina ya hawa wawili
ufiraji kitendo cha ngono kupitia haja kubwa kati ya mwanaume na mwanamke mkuu.
 
Tendo la ndoa hilo hilo unaloongelea ndio lililoleta dhana ya LILITH. Au nikuulize ni lini na kifungu kipi kinasema Missionary position (kifo cha mende) ndio maalum kidini?..
Maana ndio tunasikia ilisababisha Adam akakosana na Lilith na kulala chini mwanaume ni dhana upo chini ya mwanamke kimamlaka!.
 
si halali mkuu biblia inakataza hilo
Hebu nipe kifungu kinachokataza!!.. halafu tafsiri hii "There shall be no whore of the daughters of Israel, nor a sodomite of the sons of Israel"
Deuteronomy 23:17
 
Kuna sehemu imeandikwa kufirana KE na ME ni dhambi?... Nionyeshe!.
Usinishuhudie uongo na Mungu wangu!.
Ole wao waugeuza usiku kuwa mchana na mchana kuwa usiku.... Ndoa na tendo la ndoa ni takatifu na kusudi kuu ni kuijaza dunia
 
Wale wanaume wa sodoma waliotaka kulala na wageni(wanaume) wa lutu kimwili pamoja na wageni (malaika) kuwapiga upofu bado waliendelea kupapasa ili waupate mlango walale na wageni hao kwa nguvu,,,

Hayo yalikuwa ni moja ya madhara ya moja kwa moja ya tabia yao ovu lakini hawakusikia na kujutia uovu wao na baadae wakaangamizwa kwa moto kwa sababu sikio la kufa halisikii sawa laiti wangetubu na kuacha uovu huo wangeokoka usiku ule na lutu...

Hata leo watu wamefanya ni fasheni na sehemu ya maisha ndio sababu hata hapa kebehi ni nyingi kumlenga mtoa mada ila ukweli ni kuwa ndugu msipobadilika na kumuhofu Mungu na kuacha hayo matendo maovu kweli siku ipo karibu ambapo anguko na kilio kwenu vitakuwa mzigo mzito unaelemea.... Wapenzi Tubadilike kuna kila sababu ya kumuhofu Mungu na kufanya yote tufanyayo kwa utukufu wake
Nilishaacha baada ya kujua madhara yake hakika nilihofu sana nikagundua nilipenda mchezo usiokuwa sahihi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Hebu nipe kifungu kinachokataza!!.. halafu tafsiri hii "There shall be no whore of the daughters of Israel, nor a sodomite of the sons of Israel"
Deuteronomy 23:17
Mungu alipomuumba binadamu akamwambia nendeni mkaijaze dunia unafikiri wangeijaza kwa tiGO?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 wakorintho 6:9 mkuu inakataza inasema wala waasherati,wazinzi,wafiraji,wala walawiti hawataurithi ufalme wa Mungu

Sasa mkuu unaweza kunipa maana ya kila meno kati ya hayo maneno manne tajwa kwenye hilo andiko?

Tafsiri ya hill andiko ni kwamba asipatikane binti kahaba wala mwanaume hanithi Israel mkuu
Hebu nipe kifungu kinachokataza!!.. halafu tafsiri hii "There shall be no whore of the daughters of Israel, nor a sodomite of the sons of Israel"
Deuteronomy 23:17

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ole wao waugeuza usiku kuwa mchana na mchana kuwa usiku.... Ndoa na tendo la ndoa ni takatifu na kusudi kuu ni kuijaza dunia
Yuda 1:7
Kama vile Sodoma na Gomora na miji iliyokuwa kando-kando, waliofuata uasherati kwa jinsi moja na hawa, wakaenda kufuata mambo ya mwili yasiyo ya asili, imewekwa kuwa dalili, wakiadhibiwa katika moto wa milele.

Jinsi moja ni nini?
 
Mungu alipomuumba binadamu akamwambia nendeni mkaijaze dunia unafikiri wangeijaza kwa tiGO?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwani kuna sehemu nimesema 'watu wasitumie mbele watumie tigo tu'?. Me nimesema hakuna sehemu ME na KE walikatazwa tigo ila sehemu kibao ME na ME wamekatazwa kulana tigo (ushoga).
Usinijaze nisivyovitamka
 
Back
Top Bottom