Blue G
JF-Expert Member
- Jun 20, 2012
- 5,339
- 3,667
Hakuna mahali katika biblia pametaja sex positions zipi zitumike when it comes to sex
Lakini linapokuja swala la ngono kupitia njia ya haja kubwa hiyo no strictly forbidden mkuu
Na ndo maana hata katika karne hii
Ngono kupitia haja kubwa imepeea majina mengi ambayo yanaconlude kwamba ngono hiyo si sawa
Jiulize kwa nini inaitwa mapenzi kinyume na maumbile?
Kwa nini mwanamke anapata madhara kwa sababu ya ngono kwa mtindo huo?
Kwa nini wanaume wengine wanafanyiwa ushafishaji wa mirija maeneno ya huko,just kwa sababu ya sex ya aina hiyo?
Kwa nini wanaofanya normal sex hawakutwi na madhara hayo?
Hata normal sex ina harufu yake right mkuu?nikirefer kwa quote yako Fulani huko juu ukimjibu bi Dada mmoja hivi
Mbona sijawahi kusikia kuna mtu hataaki sex kwa sababu ya ile smell? Lakini nimesikia a lot of complains kuwa kuna wengine wameacha sex hiyo just kwa sababu ya harufu inayotokana nayo ukiwemo na were??
Sent using Jamii Forums mobile app

Tendo la ndoa hilo hilo unaloongelea ndio lililoleta dhana ya LILITH. Au nikuulize ni lini na kifungu kipi kinasema Missionary position (kifo cha mende) ndio maalum kidini?..
Maana ndio tunasikia ilisababisha Adam akakosana na Lilith na kulala chini mwanaume ni dhana upo chini ya mwanamke kimamlaka!.
Sent using Jamii Forums mobile app