Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Huu upimaji na kugundua kuwa hawana marinda umefanyika lini au tu ni kutafta vichwa vya habari.
 
Wanawasingizia tu! Wamejuaje? Mkurugenzi sio daktari amehakikishaje?
 
Aisee darasa la 4.😳😳
Nmepoteza bikra chuoo na ile ingine bado sealed

Jmn dunia simama tushukee au Yesu arudii tuu
 
Halafu wazazi wa kike ndio wanakosaga umakini katika hili la kuacha mambo yao wazi kwenye simu na watoto wanaazima kucheza games wanakutana na hayo mambo

Mtu kama unamambo yako ambayo sio vizuri watoto waoyaone si unaweka password tu?
Na kweli usemali Ses waweke Password au kama vipi wasiwape tu tu hiyo simu.
 
Hawa jamaa wanahusudu sana kungonoka, hata nduli anao watoto wa kutosha
 
Sasa ikitolewa kuhusu Zanzibar kutakuwa na Uajabu gani?

Yaani uongelee habari ya samaki na kuiitaja bahari au ziwa iwe ajabu?

Ua not serious.
Huko Mwanza,ni.mchezo wao,toka mababu na mabibi,ila sasa kumepatikana wa kuyakemea.
 
Hiyo "kinyume na maumbile" ni neno la kisheria tuu. Ubooo kwake ni tundu tuu
 
Kumbe ilikuwa ya muda tangu 2015 duh, ila somo zuri watakao elewa waelewe. 💪
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…