Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Huu upimaji na kugundua kuwa hawana marinda umefanyika lini au tu ni kutafta vichwa vya habari.
 
Aisee darasa la 4.😳😳
Nmepoteza bikra chuoo na ile ingine bado sealed

Jmn dunia simama tushukee au Yesu arudii tuu
 
Halafu wazazi wa kike ndio wanakosaga umakini katika hili la kuacha mambo yao wazi kwenye simu na watoto wanaazima kucheza games wanakutana na hayo mambo

Mtu kama unamambo yako ambayo sio vizuri watoto waoyaone si unaweka password tu?
Na kweli usemali Ses waweke Password au kama vipi wasiwape tu tu hiyo simu.
 
Sasa ikitolewa kuhusu Zanzibar kutakuwa na Uajabu gani?

Yaani uongelee habari ya samaki na kuiitaja bahari au ziwa iwe ajabu?

Ua not serious.
Huko Mwanza,ni.mchezo wao,toka mababu na mabibi,ila sasa kumepatikana wa kuyakemea.
 
Hiyo "kinyume na maumbile" ni neno la kisheria tuu. Ubooo kwake ni tundu tuu
mimba-mashuleniiii-645x375.jpg

Baadhi ya wanafunzi wa kike katika Shule za Msingi na Sekondari jijini Mwanza, wamedaiwa kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile, kwa kile kilichoelezwa kukwepa kubeba mimba na kupelekea kufukuzwa shule.

Hayo yamebainika mkoani Mwanza kwenye kikao cha wadau wa elimu, kilicholenga kujadili mkakati wa kutokomeza mimba za utotoni ikiwemo kutoa elimu juu ya madhara ya kufanya mapenzi, katika umri mdogo.

Matoke Jackson ni Mkurugezi wa Asasi ya Usaidizi wa Kisheria ya Wilaya ya Ilemela (ILABU) ameibainisha kuwepo kwa tatizo hilo kwa changamoto hiyo kwa wanafunzi hasa wa shule za msingi kujihusisha na mapenzi ya kinyume na maumbile.

“Kwenye utoaji wa elimu hii tumegundua mpaka Shule za Msingi sasa ni tatizo, mpaka watoto wa Darasa la nne wanajua namna ya kufanya mapenzi, tena hasa ya mapenzi ya kinyume na maumbile, yamelipuka sana kwenye Shule za Msingi kuliko za Sekondari” amesema Mateko Jackson
 
Kumbe ilikuwa ya muda tangu 2015 duh, ila somo zuri watakao elewa waelewe. 💪
 
Back
Top Bottom