Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Hapana ndugu yangu, siwezi kukuhusisha na kundi lolote lkn lengo la thread hii ni kujaribu kuhoji jinsi mtu anayeshiriki tendo hilo je anajisikiaje? je kwake anaona ni salama kumtenda/kutendwa hivyo? je anaona nafsi yake iko huru?
nafsi kuwa au kutokuwa huru is very subjective.Nikupe mfano, wapo binadamu ambao hawawezi kunyanyua mkono na kumpiga kiumbe mwenzie hata awe mwanae wa kuzaa,akimpiga mtu anajisikia hana amani na hana 'uhuru na nafsi yake'(guilty consience) , wakati jamaa mwingine wanae,mkewe,wadogo zake na hata watoto wa jirani yeye ni bakora kwa kwenda mbele na nafsi yake 'iko huru ' katika hilo,you see? Kinachokuweka huru Telo sicho kinachomuweka huru Bishanga,just learn to live with it.
 
Telo,umetumia neno 'uchafu' ukimaanisha ngono kiume cha maumbile ni 'uchafu', na kulamba je? Telo how do you make love? Huwa unalamba na kunyonya wapi mkuu,au wewe ni 'posta - kariakoo mwanzo hadi mwisho? hivi ni haki kweli wewe na mpenzi wako muelekezwe na bishanga namna ya kuto.....ana? Is that really our domain?In my opinion any sexual act enjoyed by two consenting adult partners is non of our business so long as it is done in private.Mkuu huo ndo msimamo wangu na ninaomba unisamehe kwa hilo.

Nimekuelewa ndugu yangu na wala hujanikosea kokote, hivyo hapana budi kuniomba msamaha. Uwe tu na amani ndugu yangu Baba Koku (Ujue ule ushauri uliompa mwanao Koku bado nausoma mpaka leo). Ndugu yangu naomba usipoteze maana ya thread hii. Katika thread hii hakuna sehemu niliyoongelea habari za kunyonyana ndimi, kulamba na hata katika kumwandaa mpenzi wako kabla ya tendo lenyewe. Na pia hakuna hata sehemu niliyokuomba ushauri kuhusu namna ya kushiriki tendo la ndoa. Nafikiri utakuwa umenielewa.

Kusudio la hii thread ni kuhusu wale wanaume na wadada wanaoshiriki tendo la mapenzi kinyume na maumbile (sehemu ya kutolea haja kubwa) badala ya uke. Na huu ndiyo ninaouita uchafu na si zaidi ya hapo. kama kwa upande wako unaona kwamba hayo nayo yana sehemu ya kuyajadili, basi ni bora uanzishe hiyo mada na tuichangie lkn usifanye makusudi kutaka kupoteza kusudio la thread hii kwa kutaka tuanze kujadili mengine. Kumbuka kwamba hata mashoga na lesbians sijawaongelea hapa ndugu yangu. Tujaribu kuelewa thread vizuri na hii itatusaidia kuwa focused.
 
Na ni kwa nini pia sehemu safi wanatumia kinga ila sehemu chafu(mdomo) hawatumii kinga? Na hiyo ya kunyonyana ndimi ilitoka wapi? Ukijua ilipotoka utakuwa umejua kitu cha tigo kilipotokea na sababu za kudumu kwake duniani.

Jaribu kuelewa thread hii na uwe focused kwa kile nilichokiongelea. Hayo mengine tunaweza kuyajadili pia lkn si kwenye hii thread.
 
umeongelea kuhusu dini na vitabu vya mungu hebu endelea kusoma utaona kwamba hii dunia lazima iharibike soma ufunuo
 
I do judge things in this way, labda niwashirikishe, tukihukumu basing on right or wrong, mambo mengi sana ni wrong. . .even the point of having sex before marriage is wrong, na tutambue kua kosa ni kosa that is what I believe yote kwenye mizani yana kipimo kimoja 'wrong' there is no intermediate. Ukibase kwa analysis ya 'right-wrong' ideology mambo mengi tunafanya sana 'wrong' hata kama si hili la mtoa mada, but kama mtoa mada na wewe ukute kwa mfano, unafanya mapenzi kabla ya ndoa nayo hii kwa upande wangu halina tofauti na mada yako, viko kundi moja. tujaribu kuangalia je jambo lolote ni 'reasonable' sasa kiswahili chake hapo ndo pananishinda, nafkiri tafsiri ya karibu ni je ni 'cha msingi' kwa upande wangu anal sex is NOT reasonable, to some people it seems it is. But naomba tukichangia tusiangalie right-wrong situation but rather reasonability.
Nawasilisha.

Mambo mengi ambayo sisi kama binadamu tunafikiri tunayafanya ni mapya kumbe yametokea miaka mingi na ni laana kubwa kuyafanya enzi za sodoma na gomora mambo hayo yalikithiri na Mungu akaamua kuutia moto mji wote,watu wale walikithiri kwa mambo hayo hata wakataka kuwalawiti malaika waliotumwa LUTU mtu wa Mungu akajitolea binti zake Soma Biblia Mwanzo 19:1-22 Mungu aliwatia upofu watu wale na hawakuweza kufanya jambo lolote kwa hiyo hao wanaofanya mambo hayo upofu wao unakuja sio lazima kwa namna ya upofu wa macho ila mungu ana namna nyingi ya kutoa gadhabu yake.Nitanukuu baadhi ya vifungu vya Biblia vinavyokataza hayo.

Warumi 1:24-28

24 Kwa sababu hiyo, Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya za mioyo yao na kufanyiana mambo ya aibu kwa miili yao.
25 Wanaubadili ukweli juu ya Mungu kwa uongo; wanaheshimu na kuabudu kiumbe badala ya Muumba mwenyewe, ambaye ndiye astahiliye sifa milele! Amina. 26 Kwa hiyo, Mungu amewaacha wafuate tamaa mbaya. Hata wanawake wanabadili matumizi yanayopatana na maumbile. 27 Nao wanaume hali kadhalika, wanaacha kufuata matumizi ya maumbile ya mume na mke wakawakiana tamaa wao kwa wao. Wanaume wanafanyiana mambo ya aibu, na hivyo wanajiletea wenyewe adhabu wanayostahili kwa vitendo vyao viovu.28 Kwa vile watu walikataa kumtambua Mungu, Mungu amewaacha katika fikira zao potovu, wakafanya yale ambayo hawangestahili kufanya.

Mambo ya Walawi 18:20-23
Inasema Usilale na mke wa mwensio,ukajitia unajisi naye.Usilale na mwanamume mfano wa kulala na mwanamke ni machukizo kwa BWANA wala usilale na mnyama yoyote ili kujitia unajisi kwake,wala mwwanamke asisimame mbele ya mnyama ili kulala naye ni uchafuko.
 
Nimekuelewa ndugu yangu na wala hujanikosea kokote, hivyo hapana budi kuniomba msamaha. Uwe tu na amani ndugu yangu Baba Koku (Ujue ule ushauri uliompa mwanao Koku bado nausoma mpaka leo). Ndugu yangu naomba usipoteze maana ya thread hii. Katika thread hii hakuna sehemu niliyoongelea habari za kunyonyana ndimi, kulamba na hata katika kumwandaa mpenzi wako kabla ya tendo lenyewe. Na pia hakuna hata sehemu niliyokuomba ushauri kuhusu namna ya kushiriki tendo la ndoa. Nafikiri utakuwa umenielewa.

Kusudio la hii thread ni kuhusu wale wanaume na wadada wanaoshiriki tendo la mapenzi kinyume na maumbile (sehemu ya kutolea haja kubwa) badala ya uke. Na huu ndiyo ninaouita uchafu na si zaidi ya hapo. kama kwa upande wako unaona kwamba hayo nayo yana sehemu ya kuyajadili, basi ni bora uanzishe hiyo mada na tuichangie lkn usifanye makusudi kutaka kupoteza kusudio la thread hii kwa kutaka tuanze kujadili mengine. Kumbuka kwamba hata mashoga na lesbians sijawaongelea hapa ndugu yangu. Tujaribu kuelewa thread vizuri na hii itatusaidia kuwa focused.
Mkuu nimependa unavyotoa hoja bila jazba,huo ndo ustaarab unaopashwa kuigwa jf.As for me naomba niishie hapa.
 
Babu umepinda wewe
Sijapinda bana... Mtu anakomalia tigo wakati yuko bize kunyonya vikojoleo vya wenzie. Je huo nao si uchafu? Ni maadili? Mdomo umeumbwa kwa kazi hiyo? Kama tigo ni uchafu basi hata kunyonyana vikojoleo nao ni uchafu. Tena hii ndo imeshamiri zaidi. Tuanze kampeni ya kupinga hili kwanza ndo tuhamie kwenye vinyeo.
 
Fellow tablet kuna na ile protein recycling pia, unakuta jimama linameza protein chafu kama linakunywa uji wa mtama, ndo maana ulcers za ufizi zimeongezeka. (Ref: waifu wa jirani yangu)
 
NB: Soma kwa makini na uelewe ndipo utoe comment zako hasa sehemu inayokugusa. Pia MOD naomba hii thread isihamishiwe kwenye Jukwaa lolote, kwani hapa MMU ndiyo kuna watu wengi sana na Jamii yetu inaelekea kubaya, hivyo ni jukumu langu, wewe, yule na yeye katika kusaidiana katika kushauriana. Mwenye ufahamu na akili atafikiri na kuyafanyia kazi na yeye atakuwa amesaidiwa katika hili janga kubwa linaloharibu vijna wetu siku hizi.

mbona inaonesha majibu yoote unayo. unauliza nini hasa? your world must be one simple place to live.
 
Fellow tablet kuna na ile protein recycling pia, unakuta jimama linameza protein chafu kama linakunywa uji wa mtama, ndo maana ulcers za ufizi zimeongezeka. (Ref: waifu wa jirani yangu)
Heheh hatimaye fellow tablet amefufuka kama alivyosema. Sitawaambia watu kilichokusibu ila usirudie tena kupiga chabo mashoga.
 
Ahasante kwa mchango wako. Lkn mada yetu kwa leo ni kufanya/kufanywa mapenzi kinyume na maumbile kwa dada zetu/mama zetu na hata binti zetu. Ukisoma kwa makini utagundua kwamba hapa sijaongelea hata mashoga/Lesbians, n.k; kwani naamini hizo nazo ni topic pana ambazo zinaweza kujadiliwa kwa nafasi zao bila kuunganisshwa hapa. Pia, hata hilo la kufanya mapenzi kabla ya ndoa nalo inaweza ikawa na topic/thread yake ili watu waichangie. Lkn katika hili focus yetu iwe kufanya mapenzi kinyume na maumbile (haja kubwa) kwa dada/mama na binti zetu.

Nafkiri pia umeona mchango, im talking about reasonability. . .maybe wanaofanya watupe reasonability yake.
 
Nafkiri pia umeona mchango, im talking about reasonability. . .maybe wanaofanya watupe reasonability yake.

Thanks for your concern about this thread. However, I don't think that you expect somebody to come here and give you reasons why he/she prefer anal sex.
 
Maandikon yako yote kwenye post hii yanaonesha ni jinsi gani usivyolipenda jambo hilo n kwamba ungetamani kuona jamii isiyo na vitendo hivyo ulivyovielezea. Hata hivyo, am very sorry kwamba umekosa weledi katika kulielezea jambo lisilofaa ndani ya jamii....staili yako ya kulielezea tatizo katu haiwezi kupunguza achilia mbali kuondoa tatizo lenyewe. Umeanza kwa kulaani na kuwalaani wale wote wanaofanya matendo kama hayo. Umeshutumu, na kuwashutumu wale wanaofanya matendo kama hayo! Hiyo si namna bora ya kuondoa ama kupunguza tatizo katika zama kama hizi. Ulitakiwa kuwa mwalimu mwema na mpole badala ya kuwa mwalimu mkali! Mwalimu mwema na mpole na kimbilio la wanafunzi wazuri na watukutu! Mwalimu mkali ni kimbio la wanafunzi wazuri na watukutu! Wapo wengi sana ambao wanafanya matendo hayo huku wakiwa wanasutwa na nafsi lakini wanashindwa kuacha kv unakuta wameshazoea....!!! Ungeongea kwa lugha ya mwalimu mwema na mpole, si ajabu baadhi yao wangekimbilia kwako japo kwa PM na kukuomba ushauri wa nini wafanye ili kuachana na hali hiyo! Hata hivyo, kv umeongea lugha ya mwalimu mkali, kamwe hapatatokea wa kujisalimisha kwako na kukuomba ushauri na badala yake wataogopa hata kusoma japo sentensi yako yoyote kwenye maandiko yako haya. Kamwe hawataweza kuyasoma kv wanajua utakuwa unaendelea kuwasimanga, kuwananga, kuwasuta na kuwashutumu!! Hiyo si namna bora ya kurekebisha, si tu jamii bali hata familia yako! Unatakiwa kuelimisha na sio kuonya! Maandiko yako yapo ki-style ya Biblia au Quran, stahili ya kuogofya, kuonya, na kukanya! Staili ya kuwataka wanadamu wamuogope mungu badala ya kuwafanya kimbilio lake! Staili ya kuwafanya wanadamu wayaogope maneno ya mungu badala ya kuyafanya ni ilimu kwao! Tumetishwa, na tumeshatishika na hatuna namna bali kumuogopa mungu...! Tusioje maandiko yako kwani kufanya hivyo ni kukufuru....huyo na mungu, lakini wewe ni mwanadamu mwenzetu! Hivyo, badala ya kuwajengea hofu wanadamu wenzako basi opt kuwafanya rafiki kwako ili wapate ujasiri wa kukuomba ushauri!
 
Ahsante sana kwa andiko zuri sana na nikutakie kila la kheri. Ni kweli ulivyoandika nayo ni njia mojawapo inayoweza kutumika katika kuonya jambo fulani lkn haitoi gurantee kwamba hiyo approach siku zote inakuwa effecient 100%, japo itasaidia kwa kiasi chake katika kuondoa tatizo katika jamii. Lkn pia unapaswa kuelewa kwamba approach za waalimu wote si sawa mara zote kwa kuwa na procedure zinazofanana ktk kulielezea jambo fulani.

Waalimu wengi hata katika level ya Vyuo vikuu kwasasa wanafikiria au wanatumia zaidi case studies katika kuwasaidia wanafunzi wao ili wapate uelewa sahihi, kwani hata wao wanakuwa sehemu ya kujifunza. Lkn si waalimu wote wanaoona kwamba hiyo njia ni sahihi na badala yake wanakuwa na approach nyingine hasa baada ya kusoma darasa lake na kuona wanafunzi wake wanaweza kuelewa katika mazingira gani. Na njia zote hizi zimelenga ktk kuwasaidia wanafunzi wake ili waelewe vema kile kilichokusudiwa.

Kumbuka njia yoyote ile inaweza kutumika hasa pale unapogundua kwamba darasa lako lina wanafunzi wa aina gani na ni approach ipi inaweza ikawafanya wakaona kwamba hili tatizo ni serious, hivyo hapana budi kutumia njia fulani ili kuweza kufikisha ujumbe kwa wahusika.

Naomba nikutoe wasiwasi ndugu, kuhusu watu wengi kufarijika na hii post na wengi wameni-pm wakiomba ushauri zaidi japo mimi siyo Dr. wala Mwanasaikolojia lkn bado nimeweza kuwasiliana nao. Pia ni vizuri ufahamu hili pia kwamba si wote wanaweza wakawa na mawazo sawa ktk jambo fulani, ikiwemo na approach ya kutumia. Na challenge kama hizi nilizitegemea toka mwanzo kwamba ni hakika kuna watu ambao watajisikia vibaya hasa ukweli unapokuwa unamgusa. Na haikuwa kusudio la thread hii kutisha watu na badala yake kusaidia watu kujitambua na kuchukua hatua.

Ndugu, kama approach hii haijakufuraisha, basi naomba unisamehe lkn uichukulie tu positive kwamba approach zote zinakubalika kutegemeana na ukubwa wa tatizo na jinsi gani muhusika angependa ku-address tatizo. Hatahivyo, nakushukuru sana na ninaheshimu sana mwazo yako kama ambavyo nimeendelea kuheshimu mawazo ya watu wote waliojitokeza kuchangia kwenye thread hii. Naomba tu uichukulie hii thread in a positive way kama wengi sana walivyoichukulia na wala isitokee ukakosa amani , kwasababu tu approach uliyoitegemea haikutumika kuwasilisha tatizo.

Ahsante na usiku mwema.
 
Thanks for your concern about this thread. However, I don't think that you expect somebody to come here and give you reasons why he/she prefer anal sex.

Then it wasnt a place to ask such a thing if someone cannot give you reasons.
Then basi mada haipo sehemu yake, sorry to say that. But thread imekua condemnation ya wanaoprefer. Without giving them a kind of environment to be reasonable of their acts. Lengo la hii thread ni nini haswa? Kupata ufumbuzi wa tatizo au kuwahukumu watendaji wa hilo jambo?
 
Back
Top Bottom