Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Ahsante sana na ukumbuke kurudi ili unisaidie katika hili. Nafahamu hilo na wacha wanitukane sana tu lkn naamini watakuwepo wale wenye kuweza kuona hili tatizo na kuungana nami katika kulikemea hili. Pia naamini, kwamba wapo wale watakaoweza kuchukua hatua. Lakini nitafurahi sana kutukanwa hasa na yule atakayekuwa umesome kile kilichoandikwa na kuelewa. Lkn nitahuzunishwa sana na yule atakayenitukana bila kusoma na kuelewa kile kilichoandikwa.

umenitouch sana...

Useful thread..
 
Ahasante kwa mchango wako. Lkn mada yetu kwa leo ni kufanya/kufanywa mapenzi kinyume na maumbile kwa dada zetu/mama zetu na hata binti zetu. Ukisoma kwa makini utagundua kwamba hapa sijaongelea hata mashoga/Lesbians, n.k; kwani naamini hizo nazo ni topic pana ambazo zinaweza kujadiliwa kwa nafasi zao bila kuunganisshwa hapa. Pia, hata hilo la kufanya mapenzi kabla ya ndoa nalo inaweza ikawa na topic/thread yake ili watu waichangie. Lkn katika hili focus yetu iwe kufanya mapenzi kinyume na maumbile (haja kubwa) kwa dada/mama na binti zetu.

Mashoga excluded...
 
Tusimsingizie Mungu. Hajalizungumzia hili bali aliweka mazingira ya uwezekano. Mbona kwenye sikio hauwezi kuingiza?

Hata kutengeneza gari au ndege Mungu hajakataza wala kuruhusu, ni utundu wa binadamu tu. Unaweza kusema kupanda gari ni dhambi maana mahali alipopanga Mungu uende kwa masaa kadhaa unaenda kwa dakika tu.
Waache watu wafurahie utundu wao kwa kutumia akili waliyopewa. Watakapokutana nae watakuwa na majibu nafikiri
Mi siungi mkono mambo hayo lakini naamini kila mtu ana uhuru wa kutumia akili na viungo vyake
 
1. sijawahi kushiriki huo mchezo katika maisha yangu na namwomba Mungu aniepushe na hilo.
2. Kilichonisukuma ni jinsi jamii wanavyoteseka na kuumia kwasababu ya hiki kitu. Ni mara nyingi watu wengi ambao ni victims wa hili tendo wamekuwa wakitoa shuhuda za kuhuzunisha sana na kwa kiasi kikubwa wale waliotendwa wamekuwa na matatizo ya kisaikolojia. Kwani, kuna wengi ambao hata ndoa zimevunjika hasa mume anapogundua kwamba mke wake amekuwa akishiriki tendo hilo wkt yeye hakuwahi kushiriki kamwe. Refer hasa kipindi wanapojifungua hospitalini, manesi na madokta wamewahi kutoa taarifa za namna hiyo kwa wahusika. kwa ufupi ni kwamba kilichonisukuma ni jinsi gani naumia sana ninapoona mwanadamu mwenzangu au watu wanavyoumia kama matokeo ya kile walichotendewa.
3. Nimeoa
4. Nina mtoto wa kiume.
5. Ndiyo nimewahi kusikia na kusoma habari za Sodoma na Gomora.

Nafikiri nimekujibu, hivyo karibu na wewe kama haya matendo yanakuumiza hasa yanapotokea katika jamii na baadhi ya watu kuumia (anaweza akawa ndugu/jamaa/marafiki/jirani/n.k).

6. Je ulipata kushiriki tendo la ndoa kabla ya kuoa?

7. Je umewahi kutoka nje ya ndoa?

Nami naomba unijibu hayo kisha tuendelee..
 
Nakupongeza sana Telo kwa kupost mada kama hii, hizi ndio mada zinazotakiwa kujadiliwa ili kubadilisha fikra potofu na mtazamo wa hasi wa jamii ya sasa. Tatizo linakuja pale malumbano ya yanapochkua nafasi katika kujadili mada, sidhani kama hapa si mahali sahihi pa kunyoosheana vidole au kuonyeshana umwamba wa kudefend mada. Ushauri wangu ni kwamba kila mchangiaji achukue nafasi yake, aisome mada kwa umakini, atafakari kwa kina, aingalie nafasi yake katika kuijenga jamii,kama ni mwana dini aingalie imani ya dini yake inamhitaji afanye nini, kisha atoe suluhisho la mada na ushauri wake. Swala la kwamba unafanya au hufanyi, we ni msafi au sio msafi lisichukue nafasi katika kuchangia bali ni usahihi wa tendo hili. Mengine yajadiliwe kwa muda wake utapofika maana jamii yetu inajengwa kwa mambo mengi.Wako wanaofanya hili mengine hawafanyi na wako wasiofanya hili lakini mengine wanafanya kwa hiyo kila moja lijadiliwe kwa wakati wake ili tuijenge jamii yetu pale inapoonekana kupotea kwa mambo yasiyokua ya lazima na yanayoepukika.

SASA Nachangia mada kwa kusema kufanya ngono sehemu ya haja kubwa sio sahihi :
-Kiimani(kwa dini yoyote). Kupotea kwa hofu ya Mungu na Kumkosoa Mungu katika uumbaji wake, Kuacha miili yetu itutawale badala ya kumwacha Mungu atutawale, kupotea kabisa kwa hofu ya Mungu na kuruhusu imani za kishetani kimatendo itawale dunia.
-Kiafya (si kwa wanawake pekee hata kwa wanaume). Kwa wanawake ni kuzaa kwa taabu,kuvuja vinyesi wakati wowote,kutokwa na harufu mbaya n.k, kwa wanaume ni kuziba kwa mirija ya mkojo na uzazi, kupungua kwa nguvu za kiume n.k
-Kiakili/saikolojia(wanaofanya wanahisi ni sawa na ni muhimu na wapo tayari kwa gharama yoyote hata ikiwezekana kubaka, kufanya/kufanyiwa hivi pindi hisia zao zinapowatawala na kuacha kwao ni tabu/ugonjwa hapa hawana tofauti na wanaotumia madawa ya kulevya).
Mwisho naomba kuwashauri wale wanaofanya haya watafute sehemu tulivu,wakae chini wajiangalie wenyewe bila kuruhusu hisia zao ziwatawale, na wajihukumu wenyewe, kisha wachukue hatua, wawe wajumbe wema katika kuishuhudia jamii yetu na wajasiri wa kuijenga jamii yetu katika mambo yenye msingi na maedeleo.
Hayo ni machaache tu niliojitahidi kuchangia, naomba wanajamii wengine waongezee bila kuweka ubinafsi(selfishness) bali wajali utu wao na busara zaidi itumike. Tukumbuke kwamba mabadiliko hayatokei ghafla bali taratibu na kwa mpangilio bila kusababisha madhara.
Ahsanteni

Ahsante sana kwa mchango wako mzuri na Mungu akutie nguvu katika mambo yako, kwani hili ni tatizo na hatuna budi kusaidiana katika hili. Usihofu, wale wanaobeza ipo siku yatakapowafiki watu wao wa karibu ndipo watakapoona kwamba hili ni tatizo. Mimi binafsi sina ndugu wala jamaa na hata rafiki wa karibu aliyeumizwa na tatizo hili lkn nimesukumwa tu na uzito wa tatizo katika jamii.
Ahsante sana.
 
well, it is a free world... ; and judging by what is happening in our society today, it looks like this tiGo thing is going to be around for a very very long time...

Nobody is judging someone here and nobody has that right to do so except GOD only, but that does'nt mean we (as society) should keep quite for everything because the World is free. Particularly, when somebody is using that concept of freedom to harm innocent people, no my friend we can not allow such things to prevail without telling those people to stop harming the society.

However, I am not surprised with your focus on this matter as I was expecting such kind of contributions from you. This is because most of your contributions in JF are always harming the Society instead of helping. If you think that this is a liar, then anybody can trace your contributions and see what is always in your mind.
 
i like your seriousness on the matter bro but i think you are being unnecessarily uptight.... niliposema 'judging by what is happening in the society today', nilikuwa natoa a general observation juu ya kile kinachotokea kwenye jamii ya leo (bila kujali wewe au mtu mwingine yeyote ana mtizamo gani) na sikulenga kuonyesha kwamba kuna mtu anam-judge mtu yeyote ndani ya hii thread.

As regards contributions, well, kila mtu anaichukulia JF kwa namna yake... wengine tunaona ni sehemu ya kupata habari, ku-interact na watu wengine (sometimes with a light touch), kupata burudani etc..; wengine wanachukulia ni sehemu ya kuwa serious kama uko kwenye nyumba ya ibada au mahakamani na kubana meno wakati wanachangia hoja... again, it is a free world na kila mtu ana haki ya kuwa na mtazamo wake.... kila kheri katika crusade yako against tiGo, though.
 
Ahsante sana kwa mchango wako mzuri na Mungu akutie nguvu katika mambo yako, kwani hili ni tatizo na hatuna budi kusaidiana katika hili. Usihofu, wale wanaobeza ipo siku yatakapowafiki watu wao wa karibu ndipo watakapoona kwamba hili ni tatizo. Mimi binafsi sina ndugu wala jamaa na hata rafiki wa karibu aliyeumizwa na tatizo hili lkn nimesukumwa tu na uzito wa tatizo katika jamii.
Ahsante sana.

Samahani.. Nimeshindwa kuendelea kuchangia uzi wako mzuri..

Tatizo lako la kushindwa,na ama kukataa kwa sababu zako binafsi kutonijibu,umeshindwa kuziainisha pia..

Ingawa sipendi,na siungi mkono tendo la kifirauni namna hiyo,hata hivyo sitaki kuwa objective kiasi hicho pia..

Thread njema...
 
From my understanding ni kuwa hili jambo sio rahisi kama Unavyofikiria wewe hebu jaribu kuangalia mitazamo tofauti ya jamii na ujiulize kama yale yanayofanyika Kwenye vyumba vya watu yanakuhusu!
 
Roman 7: 14-17........................mambo ninaynuia kutoyatenda kwa kujua ni maovu ndiyo ninatenda..............na yale mambo ninayonuia kuyatenda kwa kufahamu kuwa ni mema nayo siyatendi......................kwa sababu gani Soma Jeremiah 17:9........Moyo wa mwanadamu umejaa hila kulikoni vitu vyote.........na pia hujivunia uovu............nani anaufahamu?
 
Wanajamvi;
Leo hii thread imemaliza wiki 1 hapa JF na imesomwa na watu 1,935 na kuchangiwa na watu 88 mpaka sasa. Naweza kusema, kwamba malengo yangu ya kuanzisha hii thread yamefanikiwa sana kwasababu nilitaka kuona watu wengi sana iwezekanavyo wanasoma hii thread na hata kama hatachangia kwa kuandika lkn Ujumbe utakuwa umewafikia na wale wenye positive ideas katika jamii ni hakika watakuwa wamepata msaada na kuona umuhimu wa kuachana na huu mchezo mbaya wa kufanya mapenzi kinyume na maumbile (sehemu ya haja kubwa).

Hivyo, kwa namna ya pekee sana naomba niwapongeze wote waliochukua muda wao na kusoma hii thread na hata wale walioweza kuandika mawazo yao hapa. Haijalishi ni mchango gani ulioutoa, iwe positive au negative lkn yote yalilenga kuleta balance katika hoja hii kuhusu jamii yetu. Naamini michango yote ilitolewa pia imekuwa na manufaa katika jamii. Naamini bado kuna watu wataendelea kusoma na kuchangia thread hii kwa muda mrefu ujao, lkn binafsi kama muanzisha hoja naomba leo niitimishe kwa upande wangu. Hivyo, usiangaike kunitumia swali hapa Jamvini kwamba nitarejea nikujibu, hapana kwasababu nimeshafanya majumuisho tayari leo hii. Lkn hilo halikuzui kuuliza dukuduku lako hapa, kwani kuna wengine watajitokeza na kukusaidia majibu.

Nitakuwa sijamtendea MOD ndivyo sivyo kama nitashindwa kumshukuru kwasababu aliamua kuacha hii thread hapa kwenye Jukwaa la MMU bila kuihamisha kule kwenye Jukwaa la Wakubwa. Na hii imesaidia sana watu wengi sana kuweza kusoma hii thread na malengo ya hii thread kufikiwa. Ahsante sana MOD.

Sasa katika kuhitimisha naomba niweke baadhi ya madhara ya huu mchezo wa kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile ili msomaji uweze kuendelea kujihoji na kuona kama kweli hili tendo unalofanya ni sahihi na la upendo kwa mwenzako? Na hii iwasidie wale madada/mama/binti ambao hawaoni tatizo kushiriki tendo hilo ambalo hata vitabu vya Dini inakilaani sana kwamba ni tendo la ufedhuli na lisilofaa kwa mwanadamu kushiriki na mwenzake.

Nitoe wito kwa Dada/mama/binti zetu kwamba huu mchezo ni mbaya sana kwao na hata kwa afya zao. Haimaanishi kwamba unapotoa hiyo sehemu ndiyo unaonyesha upendo, la hasha huko ni kujidhalilisha tu na mwisho wa siku madhara yake yakishakuwa makubwa kwako, huyu baba,kijana,mwanume hutamwona tena na wkt huo hata thamani yako na utu wako havitakuwepo tena. Ni kwanini kujidahlilisha hivyo? ni kwanini usiwe na msimamo kwamba huko nyuma ni BIG NO!!!!!. Wakati umefika sasa na nyie muweze kusema no kwa vitu mnavyojua kwamba zinawaathiri katika maisha ya kila siku. Achanani na tamaa ambazo mwisho wake ni majuto. Pia nitoe wito kwa wanaume pia; Chondechonde wahurumieni dada/mama na binti zetu? kwanini kuwafanyia hivyo wakati ni hatari kwa afya zao? ebu ogopeni Mungu jamani ili msitangulize tamaa zenu katika kuwaangamiza mama/dada na binti zetu. Je, utafurahi wewe baba yatakapomkuta mwanao? mama yako? dada yako? kwamba kuna mwanaume anamfanyisha mapenzi kinyume na maumbile? kama jibu ni hapana, sasa kwanini kumtenda mama/dada na binti wa mwingine hivyo? Jamani, ebu badilikeni na muwe na huruma. Msiendekeze tamaa zenu hizo ambazo zina madhara makubwa ya kisaikolojia kwa dada/mama na binti zetu.

Baadhi ya madhara ya tendo hilo ni kama ifuatavyo;
a) Kiafya na kijamii: Kushindwa kukaza misuli kuidhibiti haja kutokana na kulegea kwa misuli inayofunga njia ya haja kubwa (external anal sphincter muscles).b) Kiafya na Kijamii: Wakati wa kuzaa kuna uwezekano wa mtoto kutokea kwenye njia kubwa(njia ya mavi) sababu imeshakua mtepeto laini imetanuka. Manesi na Dr. watakutukana na itakuwa aibu kwako na hata kisaikolojia unaweza ukaathirika.c) Kijamii: Ni adhabu kwa yule atakaekukanda maji ya uzazi utampa adha na kinyaa cha kuona na kufua uharo wako.d) Kifya: Kwa kuwa njia hii ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile si ya asili ni rahisi kuambikizwa magonjwa ya zinaa na Ukimwi. Hii ni kwasababu ukuta wa puru (rectum mucosa) hauna vilainisho vilivyopo katika njia ya uke, hii inafanya urahisi wa michubuko na kuambikizana magonjwa kati ya wawili wanaoshiriki tendo hilo.e) Kiafya na Kijamii: Kwasababu hii sehemu ya haja kubwa si kwa ajili ya mapenzi, then zile shahawa zinabaki tu hapo na kuoza,alafu zinatoa wadudu kama funza ambao watakua wakila shahawa kila zinapomwagwa. Ikitokea hao wadudu wamekosa shahawa kama chakula wataanza kula kuta za ******, then wewe utahisi vitu vinakuwasha na dawa yake ni kumwagiwa shahawa tena ndio utapoa, ndio maana wengi wa wale wanaofirwa wanasema kwamba huko panamwasha mara kwa mara. Kijamii: ikitokea ukaachana na huyo mpenzi wako ukapata mume/bwana mwingine huta sikia raha wewe mpaka akugeuze nyuma. Fedheha na aibu itakukuta pale ambapo mpenzi/mume wako hapendi tabia hiyo chafu na kwasababu wale wadudu watakuwa wanakuwasha mkunduni, then utajifanya unampelekea ****** wako ili achokonoe angalao wale wadudu watulie. Ni mwisho kuna uwezekano ukaambulia talaka na aibu kubwa sana, ambayo ni hatari sana kwako KIAFYA, KIJAMII NA KIMAHUSIANO.

Mwisho;
Naomba nitoe wito kwa jamii kwamba tupendane, hivyo tusitendeana mabaya kwasababu tu huyu mama/dada/binti hana undugu nawe. Jamii yetu inaelekea kubaya, hivyo ni jukumu langu, wewe, yule na yeye katika kusaidiana katika kushauriana. Mwenye ufahamu na akili na anayafanyie kazi na yeye atakuwa amesaidia Jamii yetu katika Janga hili kubwa linaloharibu vijana/mama/binti na baba zetu siku hizi.

Ahsanteni sana.
TELO.
 
Naomba nitoe wito kwa jamii kwamba tupendane, hivyo tusitendeana mabaya.Jamii yetu inaelekea kubaya, hivyo ni jukumu langu, wewe, yule na yeye katika kusaidiana katika kushauriana. Mwenye ufahamu na akili na anayafanyie kazi na yeye atakuwa amesaidia Jamii yetu katika Janga hili kubwa linaloharibu vijana/mama/binti na baba zetu siku hizi.

Ahsanteni sana.
TELO.

Ahsante sana ndugu kwa thread yako.
 
Kwa hili tu, Tanzania inaendana na mataifa yaliyoendelea!
 
Nimewahi kufanya kazi na Lesbians, niliwapenda sana kufanya kazi nao, kwani wako motivated kiutendaji kama wanaume, na wanajitahidi kuwa na tabia kama za kiume na papo wako very strictly mambo ya mahusiano, usiwaguse kwani utaumbuka kama si kushtakiwa udhalilishaji. Kwa mtazamo wangu pamoja na mambo yao, lakini mbele ya jamii wanajiheshimu vizuri sana na ustaarabu wao ni mzuri kuliko wasichana wa kawaida wanaotaka kujirembua na kujipitisha na pia kuweka mitego mbalimbali kuwavutia wanaume.

Wanaume wengi walio mashoga wenye kuonyesha uwazi ni wale wa daraja la chini, lakini wa daraja la kati na juu wana tabia hiyo hiyo, hawapendi kuwasumbua wanawake, hawataki kuguswa na wanawake na ni wachapa kazi sana.

Kuna tofauti gani kati ya hawa gays/lesbians na hawa wanaoendekeza ngono kinyume cha maumbile?
Kuna sababu gani kuwachukia lesbians/gays wakati hawa watumiaji wa ngono kinyume cha maumbile hawakemewi wanaachwa wakipeta kama ndo halali yao? Hapa naona wazi kuna kasoro kubwa.
 
Jambo lipi bora kama wachezaji waruke ukuta kwenda nje au kubaki kambini? Najua fika mahusiano ya ngono huathiri wachezaji, kwani mchezaji akifanya ngono once ni sawa kama amekimbia KM 7. Kilichotakiwa si kuwafukuza bali kuwapa elimu itakayowasaidia kujisahihisha. Kufukusa si suluhisho, vinginevyo kama waliwapa maelekezo jinsi ya kujiepusha na michezo hiyo na athari zake kwa timu. La sivyo ni makosa kwani binadamu huwa anajisahihisha
 
mkuu jamii yetu kamwe kamwe hairuhusu mambo haya na ndio maana wanayapinga vibaya sana kwa wenzetu wamehalalisha na usemayo hayo kweli gays/lesbian daraja la kati na juu hujiheshimu na wala hawajionyeshi ovyo ovyo maana wanajijua wao ni wa kina nani. ila kamwe Tanzania mambo haya hawajaruhusu na ukianza kuwatetea ndio mtu wa kwanza kukunyooshea mkono. ingawa huko maofisini yapo sana na wanafanya kwa siri sana na walio daraja la chini nao wapo wanajiuza kama kawa. ila tusitetee haya mambo jamani ni aibu kwetu lol
 
Asante kwa mwono wako mpana. Mimi binafsi sina sababu ya kutetea, na niko kinyume kabisa cha mambo haya. Naheshimu mpango wa Mungu alivyotuandalia maungo yetu kila kiungo na kazi yake maalum.
  • Iweje mdomo wa kupitishia chakula kwa ajili ya kuendeleza uhai wetu utumike kwa blow job za mapenzi?
  • Iweje sehemu ya kiungo cha kutolea mavi itumike kwa kujamihiana?
Pamoja na lesbians/gays kufanya mambo kinyume cha mpango wa Mungu wa kutushirikisha uumbaji wake, kwa nini jamii imekaa kimya kukemea tabia ambazo wanandoa, na marafiki kufanya mambo hayo hayo ambayo hufanywa na hawa lesbians/gays?

Ninachoshangaa mambo hayo siku hizi yako hadharani kabisa na picha kuanikwa wazi kabisa. Mfano tembelea jukwaa la wakubwa, na hakuna anayekemea hayo, wenye akili fupi wanaona kama ni halali kufanya hivyo, je tunakwenda wapi? Ni nini tofauti ya wasagaji na hawa wanaoanika picha na mafunzo ya kufanya ngono kinyume cha maumbile?

"Action Speaks Louder Than Words"
 
Back
Top Bottom