Wanajamvi;
Leo hii thread imemaliza wiki 1 hapa JF na imesomwa na watu 1,935 na kuchangiwa na watu 88 mpaka sasa. Naweza kusema, kwamba malengo yangu ya kuanzisha hii thread yamefanikiwa sana kwasababu nilitaka kuona watu wengi sana iwezekanavyo wanasoma hii thread na hata kama hatachangia kwa kuandika lkn Ujumbe utakuwa umewafikia na wale wenye positive ideas katika jamii ni hakika watakuwa wamepata msaada na kuona umuhimu wa kuachana na huu mchezo mbaya wa kufanya mapenzi kinyume na maumbile (sehemu ya haja kubwa).
Hivyo, kwa namna ya pekee sana naomba niwapongeze wote waliochukua muda wao na kusoma hii thread na hata wale walioweza kuandika mawazo yao hapa. Haijalishi ni mchango gani ulioutoa, iwe positive au negative lkn yote yalilenga kuleta balance katika hoja hii kuhusu jamii yetu. Naamini michango yote ilitolewa pia imekuwa na manufaa katika jamii. Naamini bado kuna watu wataendelea kusoma na kuchangia thread hii kwa muda mrefu ujao, lkn binafsi kama muanzisha hoja naomba leo niitimishe kwa upande wangu. Hivyo, usiangaike kunitumia swali hapa Jamvini kwamba nitarejea nikujibu, hapana kwasababu nimeshafanya majumuisho tayari leo hii. Lkn hilo halikuzui kuuliza dukuduku lako hapa, kwani kuna wengine watajitokeza na kukusaidia majibu.
Nitakuwa sijamtendea MOD ndivyo sivyo kama nitashindwa kumshukuru kwasababu aliamua kuacha hii thread hapa kwenye Jukwaa la MMU bila kuihamisha kule kwenye Jukwaa la Wakubwa. Na hii imesaidia sana watu wengi sana kuweza kusoma hii thread na malengo ya hii thread kufikiwa. Ahsante sana MOD.
Sasa katika kuhitimisha naomba niweke baadhi ya madhara ya huu mchezo wa kushiriki tendo la ndoa kinyume na maumbile ili msomaji uweze kuendelea kujihoji na kuona kama kweli hili tendo unalofanya ni sahihi na la upendo kwa mwenzako? Na hii iwasidie wale madada/mama/binti ambao hawaoni tatizo kushiriki tendo hilo ambalo hata vitabu vya Dini inakilaani sana kwamba ni tendo la ufedhuli na lisilofaa kwa mwanadamu kushiriki na mwenzake.
Nitoe wito kwa Dada/mama/binti zetu kwamba huu mchezo ni mbaya sana kwao na hata kwa afya zao. Haimaanishi kwamba unapotoa hiyo sehemu ndiyo unaonyesha upendo, la hasha huko ni kujidhalilisha tu na mwisho wa siku madhara yake yakishakuwa makubwa kwako, huyu baba,kijana,mwanume hutamwona tena na wkt huo hata thamani yako na utu wako havitakuwepo tena. Ni kwanini kujidahlilisha hivyo? ni kwanini usiwe na msimamo kwamba huko nyuma ni BIG NO!!!!!. Wakati umefika sasa na nyie muweze kusema no kwa vitu mnavyojua kwamba zinawaathiri katika maisha ya kila siku. Achanani na tamaa ambazo mwisho wake ni majuto. Pia nitoe wito kwa wanaume pia; Chondechonde wahurumieni dada/mama na binti zetu? kwanini kuwafanyia hivyo wakati ni hatari kwa afya zao? ebu ogopeni Mungu jamani ili msitangulize tamaa zenu katika kuwaangamiza mama/dada na binti zetu. Je, utafurahi wewe baba yatakapomkuta mwanao? mama yako? dada yako? kwamba kuna mwanaume anamfanyisha mapenzi kinyume na maumbile? kama jibu ni hapana, sasa kwanini kumtenda mama/dada na binti wa mwingine hivyo? Jamani, ebu badilikeni na muwe na huruma. Msiendekeze tamaa zenu hizo ambazo zina madhara makubwa ya kisaikolojia kwa dada/mama na binti zetu.
Baadhi ya madhara ya tendo hilo ni kama ifuatavyo;
a) Kiafya na kijamii: Kushindwa kukaza misuli kuidhibiti haja kutokana na kulegea kwa misuli inayofunga njia ya haja kubwa (external anal sphincter muscles).b) Kiafya na Kijamii: Wakati wa kuzaa kuna uwezekano wa mtoto kutokea kwenye njia kubwa(njia ya mavi) sababu imeshakua mtepeto laini imetanuka. Manesi na Dr. watakutukana na itakuwa aibu kwako na hata kisaikolojia unaweza ukaathirika.c) Kijamii: Ni adhabu kwa yule atakaekukanda maji ya uzazi utampa adha na kinyaa cha kuona na kufua uharo wako.d) Kifya: Kwa kuwa njia hii ya kufanya mapenzi kinyume na maumbile si ya asili ni rahisi kuambikizwa magonjwa ya zinaa na Ukimwi. Hii ni kwasababu ukuta wa puru (rectum mucosa) hauna vilainisho vilivyopo katika njia ya uke, hii inafanya urahisi wa michubuko na kuambikizana magonjwa kati ya wawili wanaoshiriki tendo hilo.e) Kiafya na Kijamii: Kwasababu hii sehemu ya haja kubwa si kwa ajili ya mapenzi, then zile shahawa zinabaki tu hapo na kuoza,alafu zinatoa wadudu kama funza ambao watakua wakila shahawa kila zinapomwagwa. Ikitokea hao wadudu wamekosa shahawa kama chakula wataanza kula kuta za ******, then wewe utahisi vitu vinakuwasha na dawa yake ni kumwagiwa shahawa tena ndio utapoa, ndio maana wengi wa wale wanaofirwa wanasema kwamba huko panamwasha mara kwa mara. Kijamii: ikitokea ukaachana na huyo mpenzi wako ukapata mume/bwana mwingine huta sikia raha wewe mpaka akugeuze nyuma. Fedheha na aibu itakukuta pale ambapo mpenzi/mume wako hapendi tabia hiyo chafu na kwasababu wale wadudu watakuwa wanakuwasha mkunduni, then utajifanya unampelekea ****** wako ili achokonoe angalao wale wadudu watulie. Ni mwisho kuna uwezekano ukaambulia talaka na aibu kubwa sana, ambayo ni hatari sana kwako KIAFYA, KIJAMII NA KIMAHUSIANO.
Mwisho;
Naomba nitoe wito kwa jamii kwamba tupendane, hivyo tusitendeana mabaya.Jamii yetu inaelekea kubaya, hivyo ni jukumu langu, wewe, yule na yeye katika kusaidiana katika kushauriana. Mwenye ufahamu na akili na anayafanyie kazi na yeye atakuwa amesaidia Jamii yetu katika Janga hili kubwa linaloharibu vijana/mama/binti na baba zetu siku hizi.
Ahsanteni sana.
TELO.