The Mockingjay
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 380
- 121
Ni maisha yao binafsi ndio maana wanafanya kwa Siri. Hata ngono ya mke na mme ni siri yao, haituhusu. Hata mme na mke wakilana Tigo or anything, ni uamuzi wao, kama hao gays la lesbian. Misimamo yetu ya kupinga or kutokupenda hayo ya kinyume cha maumbile, tusishinikize kwa wengine. Ni maisha yao waliochagua wao. Kama ni dhambi, Mungu ndio wakuwahukumu. Ila kama ni hukumu, ewe mzinzi unayevunja amri ya sita utakutana nao jehanam kwenye moto wa degree sawa.
In the meantime, it is their civil liberty!
In the meantime, it is their civil liberty!