Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

naungana na sumbai,kwa kama ni hawara yake anaweza kukutamkia waziwazi hama hivyo,lakini kwa mke wa ndoa hawezi kukuomba 0713.....huwa katika harakati za mapenzi anatelezesha tu akiona umetulia kichwa kinazama anajua umemkubalia

sure!!!!!!
 

mbele mboona patamu tu jamani.....
 

uongo pale huwez za
isha kirahisi mkuu kama unavyosa unless hakuwa na hata nusu ya marinda
 

hahahahaaaaaa nimekusoma magumashhhhhhhhhh!!!!!!!!!!!!!!😛oa

hiyo kitu acha kabisaaa ni ballaaaaa
 
Mkuu kulikoni, hebu mwite shemeji yetu tumpe darasa la ni nini cha kutumia na kipi cha kuacha!
 
Katika kipindi kigumu ambacho wanawake tunapitia ni kipindi cha ndoa. Nowadays ndio nyingi zinavyoonekana sivyo zilivyo ndani, ndani zimejaa unyanyasaji mkubwa sana ila zinafunikwa tu na neno ndoa na wanawake tukitoka nje tunatabasamu hii inafanya wanaotutazama waamini tunafuraha.,hii si kweli ni wachache sana wanao furahia ndoa zao. Wanawake wengi wanafanyiwa udhalilishaji huu wa kinjinsia siyo kwa sababu wanapenda, wengi hawapendi wengine wanafanya tu kunusuru ndoa yake na hii inasababishwa na mila na desturi zetu kwamba ukiolewa ukarudi nyumbani inaleta picha mbaya kwako mwenyewe na familia yote kwa ujumla sasa unakuta wengi wanakwepa hii aibu bila kutazama madhara anayoyapata,wengine wanafanyiwa hiking kitendo kwa nguvu siyo kwa kutaka.
 
Tatizo wanandoa wanaogopa kuombana tigo kwa hofu ya kutengana,kwa mabodaboda na michepuko mingine wanafanya tena kwa ushirikiano wa hali ya juu.Tigo ni mbaya jamani,kwa waume na hata michepuko pamoja na wake pia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…