Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Hakuna kukosea ni tabia mbaya tu ya mtu ng'ombe anapanda kwa kukuchumia hakosei itakuwa wewe binadamu?
Tena kibaya zaid kwenye romance unaanza kuchezea papuchi ila kuingiza ndo ukosee!
 
Kweli mume wako anaweza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa??

Yawezakana mume wako ni illuminati member maana waabudu shetani yaani Lucifer mapenzi kinyume na maumbile ni moja ya nguzo au msingi wa ibaada yao na ndo maana ma-celebrity wengi wa America ni mashoga au wasagaji na ndo maana mataifa makubwa wana promote ndoa za njinsia moja.
 
mpaka kwenye marinda ni illuminat? ngachoka
 
Mume ameomba huenda ameona dalili au amesikia kuna watu wanakula hilo jambo si bure tu
 
Siku ukijaribu utataman akunyee kabisa..ila wanaotumiaga ndo wanasema ivo ila mi stumiagi
 

Upo sahihi sana mkuu.
 
Ikifikia mahali unamwomba mwanamke yeyote umfanye nyuma maana yake ni kwamba:-

-UMESHAMCHOKA KABISA NA HUMPENDI YEYE WALA AFYA YAKE.

-PIA HUNA HOFU YA MUNGU KABISA.
 

Mkuu umeelezea vizuri sana madhara yanayotokana na dhambi hii.
 
Siku zote hakuna dhambi kubwa na ndogo,ila Laana na Matokeo ya dhambi yanatofautiana. Mfano kulingana na biblia,kuna watu wengi walikuwa wakimkosea Mungu kwa namna mbalimbali.

ILA dhambi ya USHOGA,walipoifanya wanadamu kipindi kile,ghafla Mungu alishusha Gharika. Hii ilimuudhi Mungu sana kwakuwa Mwanaume ni kiumbe mfano wa Mungu.

Likely,kwa Mwanamke yeyote awe mke wa mtu au single,si vizuri na ni dhambi.
 
Haijalishi nampenda to the maximum akianza kuomba hiyo kitu tutagombana
 

Hii ni uongo.
Madhara makubwa ni maambukizi kirahisi ya magonjwa ya zinaa.
 
Kweli mume wako anaweza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa??

Anaweza kukuomba. Mapenzi ni ubunifu, au kasikia kuwa wanawake wanapenda, au kasikia mahali kuwa inafurahisha zaidi nk, anataka mjaribu ikiwafaa muendelee nayo. Kama hutaki unamkatalia tu vizuri, eleza hisia zako kama umekasirika, aombe msamaha yaishe mwendelee na maisha. Kama na wewe unataka kujaribu kubalianeni kujaibu. I mean isiwe big deal saaaana ya kujadiliwa kama vile kapendekeza kukukata kiungo. Ni compromise, unataka fanyeni, hutaki acheni. Maisha ya ndoa yana mengi ya kufurahia sio ngono pekee, na ngono ina namna nyingi ya kuifurahia siyo ile uliyozoea pekee. Hata mambo ya kunyonyana ndimi, kuingia chumvini, oral sex mnazosema hizo namengine kama hayo yote pia ni kinyume na maumbile tu kama ukiamua kuamini kuwa ngono ni kuingiza tupu hii kwenye ile basi. Usikariri mambo, zungumza na mwenzio, muafaka mtakaofikia ni wenu, ndicho mtakachofanya.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…