masai dada, naomba nianze kwa kumnukuu mchangiaji mmoja aliyesema tuna tatizo la kuweka vipaumbele katika tabia mbaya za wenza wetu
Nianze pia kwa illustration moja ambapo sheikh flani alimsamehe mwanae wa kiume aiyetembea na mamake mdogo *mke mdogo wa babake* tena kwenye kitanda cha babake...na siku nyingi baadae akamfukuza na kuacha kumtambua kama mwanae kijana wake mwingine wa kiume aiyegundulika kuwa ni mtafunaji mzuri wa kitimoto
Tumejenga sana mentality ya kufanya baadhi ya makosa kuwa ight na mengine tunayaona mazito
Back to the point ni kwamba kufanya ndoa ikome kwa sababu tu mwenza kataka kufanya mapenzi kwa njia hiyo uiyoisema sio jambo la busara kwa maana watu wawili hamuwezi shindwa kuongelea tatizo kama hili na kulitatua
Na katika mapenzi ukiangalia kwa makini ni mambo mengi tunafanya kinyume cha maumbie..kwa tafsiri yangu binafsi kinyume cha maumbile ni kutumia kiungo flani cha mwili tofauti na matumizi ambayo kiliumbiwa kwayo
for instance angalia suala zima la kunyonyana!!! we all know kwamba wanaume hatukupewa dicks ili zinyonywe..kimaumbile kazi yake ni kukojoa chooni na kudownload wazungu kwenye vipoch manyoya ili kutengeneza watoto..so how come zifanywe koni? hii ni kinyume na maumbie
again angalia tunavyotumia midomo na ndimi zetu....mara tumezama uvinza, mara tunaramba makwapa na nyayo..hii sio kazi halali ya midomo
maziwa ya mwanamke yapo kwa ajili ya hoteli ya watoto baaaas!!! akini tunakwenda kinyume cha maumbile na kuyanyonya watu wazima
mifano ipo mingi so tunaweza kukemea suala la tigo taking into consideration ya madhara kiafya but for the case of kinyume na maumbile hiyo ni just a single part of it!!!
tukija kwa wanandoa na tendo zima la kujamiiana nadhani twaweza kusema haitakiwi kuwa na aina yoyote ya kulazimishana kufanya jambo lolote la kimapenzi...be it tigo, sucking the crit. , the mike, breasts, kwapa au whatever...ni raha pale wapenzi wanapofanya jambo ambalo wote wanalifurahia na kuridhia
kwa hiyo basi kama mmoja atataka tigo na mwenza hataki basi hilo jambo automatically lisifanyike kwa msingi wa mutual enjoyment policy niliyoitaja hapo juu. na kwa maana hiyo hakutakuwa na mgogoro na karaha y kuyumba kwa ndoa
kama wakikubaliana wote..then it is them....mimi na wife hatupendi but who am I kuingilia actions za wengine katika mapenzi? live and let live