Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

mmmh hii kitu mbaya sana lakini endapo mke atakuomba bora umle tu coz atawapa wengine then anakaa kimya na huwezi jua mpaka pale anapojifungua manesi wanakuita na kukwambia unayoyafanya sio. si unajua kama kitu chako uatakuwa unakipiga taratibu tofauti na mtu mwingine unaweza hata kuweka ratiba sio kila siku ili kusiwe na madhara. Ila kama hahitaji sio kitu cah kufanya kabisa
kwa hyo kama mume akiomba bora umpe kuliko akale nje??
 
Mapenzi ni kuridhishana,je angeombwa kula koni angekuja hapa JF??yeye ajipigie tu vinginevyo huyo firauni aliyemzoesha 0713 ataendelea kumgongea,NI USHAURI TU
 
Hii kitu ina ugumu wake, labda kuanzia mlivyokuwa marafiki huko mlishaanza huu mchezo, sasa kwa mfan o leo hii mimi msukuma aje aniambie hii kitu uhakika ni kwamba italea mgogoro mkubwa sana na labda ndoa ndipo itakapovunjikia hapo.

Jambo hili kama unaliona halifai hakuna namna ya kulifanya lakini hiyo haina maana kuwa ndio uvunje ndoa kwasababu tu mumeo kakuomba mlango wa nyuma,kwanini unafikiria hivyo?

Ni kosa kubwa sana kwa mtu unaesema unampenda halafu uvunje ndoa kwasababu kama hii ambayo unaweza kuitatua na maisha yakaendelea,mwenzako kuwa na tabia fulani sio laana kiasi kwamba haiwezi kubadilika au kuitatulika,kama anataka mlando wa nyuma muulize kama anataka kuacha au hataki ukipata jibu hapo ndipo utakapoamua kufanya maamuzi....

Kama mumeo anataka kuacha hakuna sababu yoyote ile ya kuvunja ndoa,mnakwenda kwa wataalam wa kisaikolojia na madaktari wa kawaida kwaajili ya kuanza utaratibu wa kuacha hii kitu na hapo ndipo utakuwa umeonesha kuwa unampenda na kumjali mwenzako

Lakini akikuambia hivyo na ukakimbilia tu kuvunja ndoa hili litakuwa ni jambo la kijinga zaidi ya hata yeye kufanya huo mchezo huko,nasema hivyo kwasababu itakusaidia nini wewe na ndoa yako pale ambapo atakapofanya kwasiri huko kwa hofu ya kuvunja ndo? Nasema hivi kwasababu haya mambo ya kutoa kauli mbaya kama hizi ndio yanawafanya wale ambao mmeoana nao kuamua kwenda kutafuta huduma hii nje ....

Anapokwenda kutafuta huduma huko nje kwasababu ya ukali wako ndipo unajiweka wewe mwenyewe kwenye hatari kubwa sana ya kiafya na pia huyu mwenzako atakuja kupata matatizo ambayo baadae atashindwa kuihudumia ndoa yake ipasavyo kwasababu kuna uwezekano mkubwa wa kuja kukosa nguvu za kiume huko mbeleni,hii nayo ni hasara kwako

Kwanini usiweke mlango wa uhuru wa mawazo na baada ya hapo uamue namna ya kumsaidia?

Tatizo lingine la sisi binadamu ni kutenga aina fulani ya matatizo na kuyafanya kuwa mabaya kuliko mengine,yaani wewe hapo uko tayari kuishi na jambazi lakini kuishi na mtu anaetumia mlango wa nyuma hutaki,sijui ni kwanini lakini binadamu tna shida kubwa sana.....!!
 
umeongea kwa busara sana na hakika umenivutia je ukikutana na case kama niliyoielezea kwenye mada kwamba haujawah shuhudia akisema hivyo lakini siku hiyo kakwambia anautaka huo mchezo sio kuacha ni kuufanya na ni kuonyesha hali flani ya kuukubali je utafanyaje??
 
Ni ruksa mwenye nyumba kutumia mlango wa uani maana nyumba ni yake. Nyumba yako nani akuzuie usitumie mlango wa uani, ni ruksa kwa mwenye nyumba kutumia milango yote ya nyumba yake bila masharti yoyote na bila kikwazo.
 
umeongea kwa busara sana na hakika umenivutia je ukikutana na case kama niliyoielezea kwenye mada kwamba haujawah shuhudia akisema hivyo lakini siku hiyo kakwambia anautaka huo mchezo sio kuacha ni kuufanya na ni kuonyesha hali flani ya kuukubali je utafanyaje??

Kupenda kuna maana ya kuchukua madhaifu ya mwenzako na kuyafanya yako,apaswa kuzungumza nae kwa busara na kumshawishi ili aweze kukubali kuacha

Kama ataamua kutokuacha hili nitaliamua kulingana na msimamo wangu kuhusu jambo lenyewe maana hii ni tabia kama zingine ambazo watu wameamua kuendelea kuwa nazo na bado watu wapo kwenye ndoa

Kusema tu nitavunja ndoa naweza nikadanganya au nikisema sitavunja ndoa naweza kudanganya pia kwasababu ndoa ni taasisi ambayo kuichukulia rahisi rahisi sio jambo jema

Kimsingi ninaamini kama nimekuoa na nikakukuta unafanya mchezo huo sitashindwa kukushawishi uache,hicho ndicho ninachoamini...

Kuvunja ndoa sio jambo jema kabisa......
 
umeongea kwa busara sana na hakika umenivutia je ukikutana na case kama niliyoielezea kwenye mada kwamba haujawah shuhudia akisema hivyo lakini siku hiyo kakwambia anautaka huo mchezo sio kuacha ni kuufanya na ni kuonyesha hali flani ya kuukubali je utafanyaje??

Kupenda kuna maana ya kuchukua madhaifu ya mwenzako na kuyafanya tyako,apaswa kuzungumza nae kwa busara na kumshawishi ili aweze kukubali kuacha

Kama ataamua kutokuacha hili nitaliamua kulingana na msimamo wangu kuhusu jambo lenyewe maana hii ni tabia kama zingine ambazo watu wameamua kuendelea kuwa nazo na bado watu wapo kwenye ndoa

Kusema tu nitavunja ndoa naweza nikadanganya au nikisema sitavunja ndoa naweza kudanganya pia kwasababu ndoa ni taasisi ambayo kuichukulia rahisi rahisi sio jambo jema

Kimsingi ninaamini kama nimekuoa na nikakukuta unafanya mchezo huo sitashindwa kukushawishi uache,hicho ndicho ninachoamini...

Kuvunja ndoa sio jambo jema kabisa......
 
Kupenda kuna maana ya kuchukua madhaifu ya mwenzako na kuyafanya tyako,apaswa kuzungumza nae kwa busara na kumshawishi ili aweze kukubali kuacha

Kama ataamua kutokuacha hili nitaliamua kulingana na msimamo wangu kuhusu jambo lenyewe maana hii ni tabia kama zingine ambazo watu wameamua kuendelea kuwa nazo na bado watu wapo kwenye ndoa

Kusema tu nitavunja ndoa naweza nikadanganya au nikisema sitavunja ndoa naweza kudanganya pia kwasababu ndoa ni taasisi ambayo kuichukulia rahisi rahisi sio jambo jema

Kimsingi ninaamini kama nimekuoa na nikakukuta unafanya mchezo huo sitashindwa kukushawishi uache,hicho ndicho ninachoamini...

Kuvunja ndoa sio jambo jema kabisa......
my dear acha tu
 
masai dada, naomba nianze kwa kumnukuu mchangiaji mmoja aliyesema tuna tatizo la kuweka vipaumbele katika tabia mbaya za wenza wetu

Nianze pia kwa illustration moja ambapo sheikh flani alimsamehe mwanae wa kiume aiyetembea na mamake mdogo *mke mdogo wa babake* tena kwenye kitanda cha babake...na siku nyingi baadae akamfukuza na kuacha kumtambua kama mwanae kijana wake mwingine wa kiume aiyegundulika kuwa ni mtafunaji mzuri wa kitimoto

Tumejenga sana mentality ya kufanya baadhi ya makosa kuwa ight na mengine tunayaona mazito

Back to the point ni kwamba kufanya ndoa ikome kwa sababu tu mwenza kataka kufanya mapenzi kwa njia hiyo uiyoisema sio jambo la busara kwa maana watu wawili hamuwezi shindwa kuongelea tatizo kama hili na kulitatua

Na katika mapenzi ukiangalia kwa makini ni mambo mengi tunafanya kinyume cha maumbie..kwa tafsiri yangu binafsi kinyume cha maumbile ni kutumia kiungo flani cha mwili tofauti na matumizi ambayo kiliumbiwa kwayo

for instance angalia suala zima la kunyonyana!!! we all know kwamba wanaume hatukupewa dicks ili zinyonywe..kimaumbile kazi yake ni kukojoa chooni na kudownload wazungu kwenye vipoch manyoya ili kutengeneza watoto..so how come zifanywe koni? hii ni kinyume na maumbie

again angalia tunavyotumia midomo na ndimi zetu....mara tumezama uvinza, mara tunaramba makwapa na nyayo..hii sio kazi halali ya midomo

maziwa ya mwanamke yapo kwa ajili ya hoteli ya watoto baaaas!!! akini tunakwenda kinyume cha maumbile na kuyanyonya watu wazima

mifano ipo mingi so tunaweza kukemea suala la tigo taking into consideration ya madhara kiafya but for the case of kinyume na maumbile hiyo ni just a single part of it!!!

tukija kwa wanandoa na tendo zima la kujamiiana nadhani twaweza kusema haitakiwi kuwa na aina yoyote ya kulazimishana kufanya jambo lolote la kimapenzi...be it tigo, sucking the crit. , the mike, breasts, kwapa au whatever...ni raha pale wapenzi wanapofanya jambo ambalo wote wanalifurahia na kuridhia

kwa hiyo basi kama mmoja atataka tigo na mwenza hataki basi hilo jambo automatically lisifanyike kwa msingi wa mutual enjoyment policy niliyoitaja hapo juu. na kwa maana hiyo hakutakuwa na mgogoro na karaha y kuyumba kwa ndoa

kama wakikubaliana wote..then it is them....mimi na wife hatupendi but who am I kuingilia actions za wengine katika mapenzi? live and let live
 
Last edited by a moderator:

Kuna kitu nimejifunza hapa
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom