Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

Kwanini wanyama hawafanyi mapenzi kinyume na maumbile?

kwan mke hawezi kuomba?kwan ni ss tu wanaume ndo tunaopenda?mtoa maada zingatia haki za kijinsia
 
wenye mawazo ya kifirauni washindwe kwa jina la Yesu wa nazareti.na wafikwe na mabaya yote ya dunia hii.
 
Kwa mwanaume anayejua utu na thamani ya mwanamke hawezi kuthubutu hata siku moja kumuomba mwanamke kinyume na maumbile. Yani hata kumchungulia tu kwa nyuma hawezi fikiria.
 
Kwa mwanaume anayejua utu na thamani ya mwanakamke hawezi kuthubutu hata siku moja kumuomba mwanamke kinyume na maumbile. Yani hata kumchungulia tu kwa nyuma hawezi fikiria.
akigeuka anafumba macho
 
Kwa mwanaume anayejua utu na thamani ya mwanamke hawezi kuthubutu hata siku moja kumuomba mwanamke kinyume na maumbile. Yani hata kumchungulia tu kwa nyuma hawezi fikiria.

Hahaha.......! Imetulia sana hii!!!
 
ungekuja kutuuliza kabla hujampa hiyo 0713, ushauri wetu ungekuwa na maana sana. Hata hivyo si tabia nzuri kibailogia hata kidini. Muelimishe tu na usifanye ikawa issue kubwaa.
 
Hii thread hata shetani nadhani atapita tu... Tumuogope mungu jama
 
mmmh hii kitu mbaya sana lakini endapo mke atakuomba bora umle tu coz atawapa wengine then anakaa kimya na huwezi jua mpaka pale anapojifungua manesi wanakuita na kukwambia unayoyafanya sio. si unajua kama kitu chako uatakuwa unakipiga taratibu tofauti na mtu mwingine unaweza hata kuweka ratiba sio kila siku ili kusiwe na madhara. Ila kama hahitaji sio kitu cah kufanya kabisa
 
NI BOLA AFUMBE MACHO AMCHORE KWA JICHO! VINGINEVYO ATAKUA AKIFYATULIWA NA VIJANA WA MTAA!


"UngaUnga"
 
Wadau naamini mko poa,

Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.

Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.

Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.

Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.

Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.

Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.

Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.



Alishaingiliwa huyoo kipindi jamaa yuko anakula pilipili India.....pia inawezekana ni mchezo wake toka zamani kwani kwa hapa Bongo kuliwa tigo kwa kina mama haswa walio olewa ni kama fashion vile.
 
Back
Top Bottom