Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
i wish wenye uzoefu wafunguke hiyo kitu ipojereal?
u gat my attention
okey sawakwan mke hawezi kuomba?kwan ni ss tu wanaume ndo tunaopenda?mtoa maada zingatia haki za kijinsia
Kweli mume wako anaweza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa??
okey sawa
je mkeo anaeza kukuomba?
akigeuka anafumba machoKwa mwanaume anayejua utu na thamani ya mwanakamke hawezi kuthubutu hata siku moja kumuomba mwanamke kinyume na maumbile. Yani hata kumchungulia tu kwa nyuma hawezi fikiria.
Hatuombag unastukia tu dudu limeingua choon alafu ukiulizwa tunajifanya tumrkoseaKweli mume wako anaweza akaomba unyumba kinyume na maumbile na huyo ni mume wako kabisa??
Kwa mwanaume anayejua utu na thamani ya mwanamke hawezi kuthubutu hata siku moja kumuomba mwanamke kinyume na maumbile. Yani hata kumchungulia tu kwa nyuma hawezi fikiria.
Wadau naamini mko poa,
Nina mshikaji wangu ambae tumekuwa mtaani pamoja na ukubwani tumekuwa tukiwasiliana sana japokuwa tunaishi mbali mbali kidogo,yeye yuko nje kidogo ya Dar.
Anapokuwa amepata safari za kikazi huwa ananiomba nimuangalizie familia yake kama itatindikiwa na kitu,na mimi hufanya hivyo pia.
Ana mke na watoto wawili na walifunga ndoa tangu 2006.
Ni siku kama 10 hivi tangu arejee kutoka India kuchukua masters yake,amekuta nyumbani kwake kila kitu shwari.
Jana kanipigia kuwa ana mazungumzo na mimi,kitu alichoniambia hata sikuamini,anasema tangu amerudi mkewe anamlazimisha amuingilie kinyume na maumbile,anashindwa na haelewi mkewe amepatwa na nini.
Kaniomba nimshauri afanyeje kwani kwake yeye kwa mawazo ya haraka anafikiria kumrudisha kwao,na anasema huo ni ushahidi tosha kuwa mkewe amekuwa akifanya uchafu huo wakati yeye hayupo.
Wadau,naombeni mwenye ushauri unaofaa wa kumsaidia mshkaji wangu kwani mimi akili imestak.