The Mockingjay
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 380
- 121
Ni maisha yao binafsi ndio maana wanafanya kwa Siri. Hata ngono ya mke na mme ni siri yao, haituhusu. Hata mme na mke wakilana Tigo or anything, ni uamuzi wao, kama hao gays la lesbian. Misimamo yetu ya kupinga or kutokupenda hayo ya kinyume cha maumbile, tusishinikize kwa wengine. Ni maisha yao waliochagua wao. Kama ni dhambi, Mungu ndio wakuwahukumu. Ila kama ni hukumu, ewe mzinzi unayevunja amri ya sita utakutana nao jehanam kwenye moto wa degree sawa.
In the meantime, it is their civil liberty!
Mi naona ni haohao hakuna tofauti,jamii imebadilika sana ukitaka kujua pita kwenye mitandao huko,wanawake kwa wanaume wanataka kuingiliwa kinyume wanatoa hadi contact,kifupi ni kwamba tunaishi nyakati za mwisho.
Mie swali langu kama lako ila in a different angle. Mwanaume anaetumia mtandao wa kuruka ukuta na mwanamke, nae aitwe gay!
Nawaamkua all gays in here...
Mpira unaochezwa ni ule ule ambao simba ikicheza hawanyooshewi kidole, lakini mchezo huo ikicheza Azam watashushuliwa.
This is good one, umewashika pabaya.
Kuna basha na ms.enge wake, wanaume wengi hupenda kujisifia ubasha (ufi.raji) kuliko ufiruaji.Sijui kwenye gay relationship, huwa wanabadilishana roles? Yaani kila mtu anamwingilia mwenzie?
Lkn kwenye man/woman relationship, mume haingiliwi kwenye kishimo chake cha solid waste; hivyo sidhani kama anajiona gay. Ila ninahisi akikutana na ms.enge anaweza kula mzigo.
I real hope watakuja kutupa mwanga; Boflo we need ur views here!
hivi mwanaume anayekula tigo ya mwanamke na anayekula tigi ya mwanaume wamatofauti gani???? Wote si mashoga/mabasha????
.This is good one, umewashika pabaya.

Uko sahihi dada, maana kinachofanyika ni kile kile, lakini hawa lesbians/gays ambao wanajipambanua kwa uwazi tunawakemea kwa ukali sana, lakini hawa wengine wanaoonyesha na kufunza videndo hivyo kwenye mitandao mbalimbali hatuwanyooshei vidole wala kuwakemea wakati wanachofanya ni kile kile.
Masuala ya kuelimishana mbinu na kupeana mawaidha kuhusu mapenzi ni jambo zuri kwa vile wapo wengi wasio na ujuzi wala namna ya kuishi na wake au waume zao. Lakini wanapopitiliza kushauri, kufunza na kuhamasisha ngono kinyume cha maumbile naona tunaipeleka jamii kubaya.
Hapa JF mtu akileta mada ambayo haina maudhui mazuri kwa jamii inaondolewa mara moja na pengine hata kufungiwa, lakini jukwaa la wakubwa wanaleta picha na mambo ambayo ni aibu kuyatamka yafanywayo na mashoga na wasagaji lakini Uongozi wa JF na moderators hawachukua hatua yo yote, hapa inabidi Invisible kuwa na mtazamo mpana.
hivi mwanaume anayekula tigo ya mwanamke na anayekula tigi ya mwanaume wamatofauti gani???? Wote si mashoga/mabasha????
This is good one, umewashika pabaya.
Kuna basha na ms.enge wake, wanaume wengi hupenda kujisifia ubasha (ufi.raji) kuliko ufiruaji.Sijui kwenye gay relationship, huwa wanabadilishana roles? Yaani kila mtu anamwingilia mwenzie?
Lkn kwenye man/woman relationship, mume haingiliwi kwenye kishimo chake cha solid waste; hivyo sidhani kama anajiona gay. Ila ninahisi akikutana na ms.enge anaweza kula mzigo.
I real hope watakuja kutupa mwanga; Boflo we need ur views here!
Ndugu yangu,
Hapo pekundu ni kweli moderators wa JF wanawajibika kwa kiasi kikubwa sana kuhamasisha huu upuuzi. Wanatumiakigezo cha kuomba ID separately, lkn je ni kwanini JF iwe sehemu ya kuhamasisha huu upuuzi, mimi naamini moderators wa JF wanapaswa kuchukua hatua katika jambo hili, otherwise tuamini kwamba wao wanaufurahia huu upuuzi.
Kwa kifupi ni kwamba,
Anayefirwa na anayefira wote kwangu mimi ni MASHOGA. Huyu anayemfira mwanamke asikudanganye mtu kwamba akikutana na mk...du wa mwanaume ataacha kusimam....ha. Kwani Mku... ni ule ule na kazi yake ni ile ile bila kujali jinsia.